Njia za kuepuka Ban wana CC..

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
37,525
25,733
Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu....Hii ni mara ya pili sasa mtu mzima namalizia kifungo cha takriban wiki moja....

Hii na hatari sana maana naona ninakoelekea nitaenda kupata kifungo cha maisha...kwani nilipomaliza kifungo cha kwanza hazikupita wiki hata mbili nikaswekwa ndani...

'Hivi kumwambia mtu kama unawashwa njoo nikukune' ni tusi..Khaa..Hicho kisentensi ndo kilicho nipa Ban wajameni...

Copy to Arusha one na wana CC wote...
 
Last edited by a moderator:
mie ukiniambia hivyo jua ujitayarishe kuja kunikuna
 
Yani unataka nipate Ban nyingine...Wewe hunipendi hakika....Yani kusema kumkuna mtu kumenipa Ban nikija kukuna si ndo ntapewa Life Ban khaaa....
 
Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu....Hii ni mara ya pili sasa mtu mzima namalizia kifungo cha takriban wiki moja....

Hii na hatari sana maana naona ninakoelekea nitaenda kupata kifungo cha maisha...kwani nilipomaliza kifungo cha kwanza hazikupita wiki hata mbili nikaswekwa ndani...

'Hivi kumwambia mtu kama unawashwa njoo nikukune' ni tusi..Khaa..Hicho kisentensi ndo kilicho nipa Ban wajameni...

Copy to Arusha one na wana CC wote...
Njia ya kuepuka ban ni kuacha kuyasema hayo maneno..Ukiwa raia wa Japan na ukihamia Tanzania itabidi ubadili jina utafute la kibongo ilimradi usiwape watu taabu kusikia hilo jina(unayajua majina ya kijapan sina haja kuyasema)
 
Last edited by a moderator:
Njia ya kuepuka ban ni kuacha kuyasema hayo maneno..Ukiwa raia wa Japan na ukihamia Tanzania itabidi ubadili jina utafute la kibongo ilimradi usiwape watu taabu kusikia hilo jina(unayajua majina ya kijapan sina haja kuyasema)

hahahahahaha
 
Ahsante kwa ushauri...Lakini kule siasani kule...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom