Njia yakunusuru tembo wetu

Njia yakunusuru tembo wetu

Wewe ndio yule ulipata yai eeeeh........bakini na swanglish zenu......sisi tunaenzi lugha ya taifa......
Sidhani kama swanglish ina tatizo kwa mtu anaetaka kujifunza, kwa upande wangu mimi huwa napenda sana kuchomekea swanglish, mara moja moja ili nipate kukosolewa, sababu kila unapokosolewa ndio unajifunza

Nafikiri wengi wao wanafanya swanglish kwa ajili ya kujifunza sio swaga kama wengi wanavyodhania. Sisi wengine hatujawahi enda shule sasa tutapata wapi muda wa kujifunza? Ndio maana tunapenda swanglish
 
Ila inauma sana, wanatuharibia maliasili zetu, na madawa ya kulevya pia ni janga kubwa, Tanzania tufanyeje kuepukana na hili balaa?

Sio kila siku kuzungumzia mijadala ya tembo/madawa ya kulevya kwa maneno bila ya kutokomeza

Je tufanyeje kutokomeza na kuwalinda kizazi kijacho hapo baadae? Maana nikiangalia darubini yangu kwa mbali, miaka 30 ijayo kwa watakaokuwepo hapa ulimwenguni sijui itakuaje
 
Hivi wanavyotoa vitalu huko mbugani kwa ajili ya uwindaji masharti yake yanasimamiwaje?
 
Back
Top Bottom