Njia yakunusuru tembo wetu

Njia yakunusuru tembo wetu

Hao askari wengi kiasi hicho utawapata wapi?

Kwani kuna tembo wangapi! Si wanasema wamebaki kidogo tu. Basi tupunguze namba ya askari kama watatu!!!!! AU: wakusanywe wote kwenye pori moja itakuwa rahisi kujua nini kinaendelea. Mbona wafungwa wanawekwa sehemu moja hawatoroki? Anyway practicality yake might be difficult
 
Back
Top Bottom