Njia yakunusuru tembo wetu

Njia yakunusuru tembo wetu

Sawa kabisa......tena wangu wanipe akiwa mdogo nimkuze mwenyewe........kwani waTanzania tupo wangapi bana.......
mfano hadi sasa nimeshaanza kufanya utaratibu wa kupata kachui kadogo nikakuze nyumbani kama paka vile.....
 
mfano hadi sasa nimeshaanza kufanya utaratibu wa kupata kachui kadogo nikakuze nyumbani kama paka vile.....

Mkuu achana na mambo ya vyui......hapa tumeconcetrate na tembo.......watu tuna uchungu ujue...
 
Aaaah......vyui hata jana nimekiona kimoja........hivyo vipo na vinazaliana vizuri.......ngoma ipo kwa vyembo........
Preta wingi wa tembo ndio vyembo? Duh ndo mana nilifeli kiswali
 
Last edited by a moderator:
Preta wingi wa tembo ndio vyembo? Duh ndo mana nilifeli kiswali

Wewe ndio yule ulipata yai eeeeh........bakini na swanglish zenu......sisi tunaenzi lugha ya taifa......
 
Last edited by a moderator:
Aaaah......vyui hata jana nimekiona kimoja........hivyo vipo na vinazaliana vizuri.......ngoma ipo kwa vyembo........
kwenye vyembo huko, lakini uhalisia serikali haichukui hatua stahili kuonyesha mfano ikiwa kweli tunahitaji hawa wanyama wawepo....
 
Wewe ndio yule ulipata yai eeeeh........bakini na swanglish zenu......sisi tunaenzi lugha ya taifa......

Hahaha sawa bana tuwe makini vyembo, vyui, mpaka vyoka wanapotea
 
Back
Top Bottom