majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,706
- 5,111
Mahubiri ya mtu aliyechanganyikiwa. Anayeogopa kifo... kufa kunamtisha mno na anafikiria ni njia gani itakomesha kufa. Pole sana. Jikusanyie fedha kiasi cha kutosha, panga safari yako taamu... hakisha una kila kitu muhimu. Nenda sehemu tulivuuuu, angalia mazingira mazuri, watu, sehemu na vivutio mbali mbali. Tuliza akili. Elewa kila kitu kina mwisho nawe mwisho wako ni kifo na utakufa tu.... huna sababu ya kuogopa kufa.

