Njia ya kula tunda msimu huu wa Xmas

Njia ya kula tunda msimu huu wa Xmas

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Lengo la huu uzi ni kuwasaidia madomo zege nao wapate kitu roho inapenda. Maana hawa raia wamekwama kila kitu kwao wanaona muujiza.

Haya madomo zege nawapa hii mbinu ndogo tu ya kulamba vibuyu vya asali. Ila kanahitaji uwe jasiri kidogo na marufuku kucheka cheka katika hii mbinu yaani unaonesha usirias na sio joking.

Haya chukua simu yako kisha andika huu ujumbe; "Nataka nikununulie chupi ya kuvaa xmass".

Ukisha tuma kwa huyo mtu wako haijalishi mmewahi ongea au la. Na usitume ujumbe mwingine baada ya huo hadi ajibu. Na asipo jibu na ukawa na uhakika kuwa meseji amesoma na kamute mpe kama masaa mawili ukiona chenga futa namba yake bila kutuma kitu kingine chochote.

Akijibu basi mada yako iwe ni ya chupi tu usihamishe.....unaweza kuendelea kuuliza rangi....ukubwa ....na aina ya chupi hapa uwe mjanja kujazia vimaneno vya uchokozi chokozi ila usioneshe nia ya kumla japo kuwa ndio lengo kuu.

Mwenzenu hapa nadaiwa dazani mbili za vyupi mbali mbali na urembo mbalimbali na sijui naanzia wapi maana aina zingine ndio naziona leo baada ya kutumiwa picha....ila nimeona njia mbadala ni kuingia mitini tu cos hizi mbususu zimenikinai ila ndio hivyo nazichezea tu kusukuma muda .

Nawatakia mamafanikio mema, wenu mtiifu Miles.
 
Kwa hiyoo umekaaa umetafakari kwa kina ukaona sehemu pekee ya kupata hela ni kwenye jukwaa la mapenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamehe mkuu
Nwei kama yupo mwenye MBWINU ya kupelekea jinsia ke kuLIWA xmas hii aiweke hapa

Naamini wapo jinsia ya kike inayotamani kuliwa na kijana fulani sema wanakosa namna ya kuanza kuomba
 
Msamehe mkuu
Nwei kama yupo mwenye MBWINU ya kupelekea jinsia ke kuLIWA xmas hii aiweke hapa

Naamini wapo jinsia ya kike inayotamani kuliwa na kijana fulani sema wanakosa namna ya kuanza kuomba
Kweli walete mbinu walane wapunguze stress wabakiwe na akili za kutafuta hela tu....maana kutafuta hela huku una ugwadu ni shida sana
 
Msamehe mkuu
Nwei kama yupo mwenye MBWINU ya kupelekea jinsia ke kuLIWA xmas hii aiweke hapa

Naamini wapo jinsia ya kike inayotamani kuliwa na kijana fulani sema wanakosa namna ya kuanza kuomba
Unaweza kuongeza sauti tafadhali ili wengi wasikie? Asante sana.
 
Kwa hiyoo umekaaa umetafakari kwa kina ukaona sehemu pekee ya kupata hela ni kwenye jukwaa la mapenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hela popote itafutwe.
 
Msamehe mkuu
Nwei kama yupo mwenye MBWINU ya kupelekea jinsia ke kuLIWA xmas hii aiweke hapa

Naamini wapo jinsia ya kike inayotamani kuliwa na kijana fulani sema wanakosa namna ya kuanza kuomba

Hahaha
 
Back
Top Bottom