#COVID19 Njia ya kujikinga na mlipuko wa virusi vya homa ya mapafu au Coronvirus

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS
1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa nyumbani utakuwa umejilindana Maradhi.

2) Njia kuu ya pili unapotka nje ya nyumba Tafadhali vaa Mask usoni na pia ikiwezekana vaa Mikononi Gloves na usipeane na mtu kwa njia ya Mikono. Na kama unakwenda Kazini ukifika kazini kitu cha kwanza Osha Mikono yako kwaMaji na sabuni na uipanguse hiyo Mikono yako. hiyo itakusaidia kuepuka na hilo Janga la Maradhi ya Mlipuko wahoma ya Mapafu aka CoronaVirus ,lisiweze kukupata.

3) Njia ya Mwisho ni Kutumia juisi Mchanganyiko wa Tangawizi, Limao na Maji ya moto. Angalia hiyo video jinsi ya kutengeneza hiyo juisi. Na hiyo juisi itakusaidia kukukinga na hayo Maradhi ya Mlipuko wa Homa ya Mapafu aka Corona
Virus.

KUMBUKA KUWA KINGA BORA KULIKO TIBA.

UNAWEZA KU SHARE NA KUWAPA WATU WENGINE UJUMBE WANGU NINAWATAKIENI AFYA NJEMA ASANTENI.



 
Kwa mara nyingine tena Italia imevunja rekodi ya watu wengi zaidi waliokufa siku moja kutokana na maambukizi ya kirusi hatari cha corona kiasi kwamba katika kipindi cha masaa 24, watu 793 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo.

Shirika la ha habari la Tasnim limelinukuu shirika la habari la AFP likitangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Wakala wa Kuwalinda Raia wa Italia ulisema jana kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha corona nchini humo ilikuwa ni 793 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita na hadi kufikia jana watu 4800 walikuwa wameshafariki dunia nchini Italia kutokana na kirusi hicho.

Wakala huo wa kulinda raia nchini Italia pia umesema, hadi kufikia jana karibu watu 53600 walikuwa wameshaambukizwa ugonjwa wa COVID-19 ikiwa ni ongezeko la watu 6500 ikilinganishwa na tangazo lililotolewa juzi Ijumaa.

Italia hivi sasa ndiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu waliofariki dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 na imeipiku hata China ulikoanzia ugonjwa huo. Hadi hivi sasa watu 3,255 wamefariki dunia kwa ugonjwa huo nchini China.
-Parstoday


bdd69218-7eb4-44c5-8f45-e968de239cf2.jpg
 
Hivi wataalamu mnapo tuambia tukae nyumbani mta tuletea chakula au tukae nyumbani tule matofari ya nyumba.

Bora kufa kwa corona kuliko kufa kwa njaa. Japo kufa ni kufa tu.
 
''NO DISEASE INCLUDING CORONAVIRUS CAN EXIST IN AN ALKALINE ENVIRONMENT''
TESTMONY OF CURE CORONA VIRUS COVID-19

Tiba ya Virusi Vya CoronaVirus Kuviondoa Mwilini Mwako
pata unga wa manjano kiasi kama vijiko 2 unga waTangawizi Vijiko 2 saga kitunguu saumu 1 kizima na katakata Maliamao 2 makubwa pamoja na maganda yake changanya pamoja na maji kama glassi 4 chemsha kwa dakika 20 kisha ujifunike kama anavyojifunika huyo mwanamke ili upate kuvuta mvuke wake mdomoni na puani jifunike kwa dakika 20.

Fanya hivyo kwa siku mara 4 mpaka mara 5 kwa muda wa siku 3 au siku 5 au siku 7 umepona maradhi yako.Kila unapo fanya dawa tumia dawa Mpya itakuwa ni vizuri zaidi .




 
CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA.jpg



de74b034-1226-4cb3-8a35-6042736c7d08.jpg



IPE NENO PICHA NA JE INAKUFUNDISHA KITU GANI HIYO PICHA.jpg



CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA. (NI MPANGO WA KUMFUTA MTU MWEUSI KWENYE USO WA DUNIA.)

Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona katika bara la Africa ili waone kama inafanya kazi.

Aliyetangaza mpango huo ni Katibu mkuu wa umoja huo Antonio_Guteress.

Nukuuu
" Tayari tumetengeneza chanjo ambayo itakuwa Kinga dhidi ya virusi vya Corona na tumedhamiria kuanza kuifanyia jaribio la kwanza barani Afrika ili turuhusu chanjo hiyo itumike , tutaanza kwa kupima mtu mwenye ngozi nyeusi atakayeweza kujitolea na atalipwa pesa nyingi Sana."

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita daktari mkubwa nchini ufaransa mwenye asili ya Senegal Dider_Raoult alionya juu ya Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona itakayo tumwa barani Africa na Bilionea Bill_Gates kwa mgongo wa Umoja wa Mataifa.
Nukuuu

"Tafadhali msitumie chanjo ambayo Bill_Gates atatuma barani Afrika, nawaomba viongozi wa nchi za Afrika chukueni tahadhari na kuweni makini na chanjo ambazo hawa matajiri wa nchi za ulaya na Marekani wanataraji kuzituma katika nchi zenu, nina imani kuwa chanjo hizo huenda zinalenga kuiangamiza Afrika , embu tafakari kwa makini kama wanahitaji kutoa msaada kwanini wasianzie Italy, Hispania au Marekani ambako watu wanafariki kila kukicha kwani chanjo hiyo isiende kufanyiwa majaribio katika nchi za ulaya na Asia lakini wanaleta Afrika tu ???"
 
Hii
''NO DISEASE INCLUDING CORONAVIRUS CAN EXIST IN AN ALKALINE ENVIRONMENT''
TESTMONY OF CURE CORONA VIRUS COVID-19

Tiba ya Virusi Vya CoronaVirus Kuviondoa Mwilini Mwako
pata unga wa manjano kiasi kama vijiko 2 unga waTangawizi Vijiko 2 saga kitunguu saumu 1 kizima na katakata Maliamao 2 makubwa pamoja na maganda yake changanya pamoja na maji kama glassi 4 chemsha kwa dakika 20 kisha ujifunike kama anavyojifunika huyo mwanamke ili upate kuvuta mvuke wake mdomoni na puani jifunike kwa dakika 20...
nafikiri inatufaa wenye vidonda vya tumbo asee
 
TOFAUTI KATI YA MUCUS NA CORONA VIRUS.jpg

KUWAFUKUZA NA KUWAUWA VIRUSI WA CORONA VIRUS NDANI YA DAMU NA MAPAFU YAKO TUMIA NJIA HII HAPA CHINI:👇

Virusi wa Corona Wapo ndani ya mapafu. Na Hawawezi kutoka kwa kujifukiza musidanganyike.Kuna dawa zake Maalum Dawa za kuchemsha unakunywa watatoka wenyewe. Chukuwa kijiko 1 unga wa Karafuu kijiko 1 unga waTangawizi na Kijiko 1 cha unga wa Zaatari changanya pamoja jumla vitakuwa ni vijiko 3. Chota mchanganyiko huo wa vijiko 3 chota kijiko 1 kikubwa weka katika sufuria tia maji glasi 1 na nusu chemsha kwa dakika 10 jikoni kisha opowa weka katika kikombe hiyo dawa bado iwe ya moto kamulia limao moja zima koroga vizuri unywe huo mchanganyiko wakati ukiwa bado wa moto.
Na kila baada ya masaa 3 tengeneza tena dawa upate kunywa tena. Unaweza kutumia dawa hiyo kwa siku mara 4 mpaka mara 5 ukitumia hiyo dawa kwa siku 5 au siku 7 au siku 10 au siku 15 umepona maradhi yako. Dawa ya pili chukuwa unga wa Habbati Soda kijiko 1 changanya na kijiko 1 kikubwa cha Asali safi ya nyuki koroga vizuri upate kunywa hiyo dawa na utakunywa tena baada ya masaa 4 kupita utatumia kwa siku japo mara 3 au mara 4 kwa siku 10 utakuwa umepona maradhi yako.na Virusi vyote vitaondoka.
 
THE CORONAVIRUS FROM A DR SEBI PERSPECTIVE

Dr Sebi never advocated the concept of viruses; the belief that there are opportunistic viruses out to get us, is a medical mindset rooted in the germ theory, which was popularized by Louis Pasteur (1822-1895). The germ theory is based on the premise that germs, bacteria and other pathogens are the cause of some diseases.

Louis Pasteur is purported to have said on his death bed; “The microbe is nothing. The terrain is everything.” Despite this, the theory has taken hold of medical thinking and has been presented in a way to ensure that it is believed, accepted and upheld by the wider public.


WHAT IS DR SEBI’S POSITION?
Dr Sebi’s position was very clear – that mucus is the cause of disease. When we consume acid-forming foods or foreign chemistry enters the body, this causes inflammation, which leads to the production of mucus. This can become excessive, covering cells and depriving them of oxygen and nutrients. Under the circumstances, an individual may die if the situation is not addressed by breaking up and expectorating mucus, and providing the body with deprived nutrients.

SO, HOW DOES THIS WORK IN REFERENCE TO THE CORONAVIRUS (NOW CLASSIFIED AS COVID-19)?
One of the key things to note about COVID-19 is that victims usually die from severe acute respiratory distress syndrome (SARDS). In short, they were unable to breathe and die through a lack of oxygen. This occurs because mucus fills the lungs depriving the body of oxygen.


Autopsy reports coming out of China shows that mucus solidifies and block airways and lungs. According to the leading professor from Tongji Medical team in Beijing, they found “a large amount of mucus in the lungs”. He further noted that,

“The secretion is very sticky. It attaches to the lung like paste.”

“The mucus was in the deep-seated airway. If we don’t give targeted treatment, it maybe counter-productive.”

“A normal lung touches like a sponge because it contains air. But an infected lung doesn’t touch like this.”

“Something else refilled the lung. You must know what the pathological change is and give targeted treatment.”

“Otherwise it will be useless like delivering oxygen through a blocked pathway.”



WHO IS AFFECTED BY COVID-19?
COVID-19 according to the their reports is affecting from the very young to very old. For example, in England, there is a reported case of a newborn and mother testing positive. There are also cases of 103 year old woman and a 100 year old man who were affected and recovered. That being said the larger percentage of persons who have died are usually older individuals and those younger people with underlying health conditions.

According to reports about 80% of affected individuals recover and the majority of those who die usually have serious underlying health conditions; the most notable being cancer, cardiovascular conditions, diabetes and respiratory ailments.

HOW DOES COVID-19 CAUSE THIS TO HAPPEN?
There are two main positions as to origin of COVID-19, that is being surfacing:

  • It is a man-made ‘virus’ or bio weapon: it is said to enter the body via the mucus member – through the mouth, nose or eyes. It is said to spread from person to person via droplets – such as cough drops, from talking as people sometimes spit while talking or singing. It is said to remain ‘active’ on surfaces and clothing for up to several days. The African Biomineral Balance does NOT support this view as viruses DO NOT exist and cannot jump from one person to another.
  • It is as a result of 5G technology: there are some serious concerns about 5G technology. In an appeal to the European Union, over 180 scientists and doctors from 36 countries warn about the dangers of 5G, which they note will lead to a massive increase in involuntary exposure to electromagnetic radiation. They have urged the EU to follow Resolution 1815 of the Council of Europe, requesting that an independent task force reassess the health effects of 5G.


These will be further explored in another post.

WHAT TO DO?
How can Dr Sebi’s methodology help in regards to COVID-19?

Dr Sebi often spoke about the ‘blood’ and the ‘starch’ and how a diet of eating meat and starches can lead to ill-health. Not only does it lead to ill-health but it also reduces the possibility of withstanding, coping with or recovering when one faces health challenges, regardless of what it is to always ensure you live a healthier life:

  • Go on a 100% alkaline diet, primarily focusing on fruits, warm liquids such as herbal teas and water.
  • If you are in a warm climate, get a bit of sun everyday.
  • Get fresh air.
A BIT ABOUT COVID-19
Despite the hysteria surrounding COVID-19, it is by scope exaggerated. To put things into perspective, below is a list of worldwide fatalities as outlined by GreenMedinfo where they showed how COVID-19 compared to other death figures since the start of the year 2020:

deaths


You will notice that the ‘socalled’ coronavirus death rate is much less in comparison to many of the other challenges we currently face worldwide.

HEALTH SYSTEM
There have also been reported cases of racism or mistreated afforded to African people in America and Europe, so it imperative that we all begin to do more to improve our health and in general do not depend on the systems in the west to provide healthcare – they are simply incapable of doing this.

THE WAY FORWARD
  • It is important that we realise that the quality of our health is dependent largely on what we put in our mouths. This is why Dr Sebi spoke against the “blood and starch”; meaning animal products such as meats, eggs, cheese etc and starchy foods; and instead recommended an alkaline diet.
  • Having said this; as it relates to possible radiation from 5G technology, then we must include iodine in the diet, and this can be acquire from sea weeds such as seamoss and bladderwrack.
  • Stay away from cold liquids, especially if you find that mucus is building up in the lungs. Instead use herbal teas to breakup and expectorate the mucus.
  • Some of Dr Sebi’s approved herbs to help are ginger, sage, elder berries and flowers (especially where there is a fever), rosemary and eucalyptus, nettle, sea moss, bladderwrack and iron-rich herbs. Dr Sebi’s iron tonics are also important as they help to distribute oxygen throughout the body, and remove toxins. Dr Sebi also created a nutritional guide which consists of alkaline foods the body needs.
  • Drink warm water in the mornings and throughout the day as much as possible; warm teas and alkaline soups can also be added.
  • Eat more fresh fruit and vegetables, limes, sour oranges and berries, high water content fruits and leafy greens like amaranth.
  • So you are best advised to introduce an alkaline diet; this will begin to help the body cleanse and also strengthen the immune system.
Please bear in mind that the African Biomineral Balance was not created to heal any dis-ease but rather to cleanse the body and provide it with nutrients.https://theafricanbiomineralbalance.com/the-coronavirus-from-a-dr-sebi-perspective/



What is surprising is that the Chinese researchers were surprised by these results. However, Dr Sebi had been talking about this for many years; in fact, anyone who is familiar with Dr Sebi’s lectures would have been able to deduce this based on the cause of death.

Iron Affects Oxygen - Dr Sebi's Perspective (COVID-19) » The African Bio-Mineral Balance
 
Chanjo za surua, pepopunda, homa ya ini, ARVs nk. zote zinatoka kwa Mabeberu ...


Hivi wakiamua kuwachinjia baharini si wanatuua ndani ya mwaka tu... Waafrica acheni kutumia kichwa kufugia nywele tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DR SEBI ON VIRUS, BACTERIA AND GERMS (VIRUS DON’T EXIST)


In light of Covid-19, this video provide a lot of information in this short clip. Viruses do not exist, yet the world is currently in total lock down because we are told that is the current situation. Dr Sebi’s teachings could serve as a light to the current medical mindset but instead we are still being drowned out by the lies that has ruled medicine for decades – that viruses, bacteria and germs are the cause of disease – which is a lie. We have to continue to share this information in spite of the challenges; our people must know the truth.
 
WHERE IS THE MUCUS IN CORONAVIRUS? FROM DR SEBI PERSPECTIVE DRSEBI MUCUS



WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY?
According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus.
He contended mucus in skin, blood and lymphatic system and membranes causes many afflictions.

''THE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS'' DR.SEBI
All manifestation of disease finds its genesis where and where the mucus membrane
has been compromises for example,if there is excess mucus in the broanchits tubes
the disease is bronchitis;if it is in the lungs the disease is pneumonia; in the pancreatic duct
it is diabetic;in the joints ,arthritis. More over mucus in the retina of the eye will cause
blindness;if it is found around the thyroid gland , cancer of the thyroid is the result.Basically,
disease will crise in the body wherever there's an accumulation of Mucus.
 
NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS.

1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa nyumbani utakuwa umejilindana Maradhi.

2) Njia kuu ya pili unapotka nje ya nyumba Tafadhali vaa Mask usoni na pia ikiwezekana vaa Mikononi Gloves na usipeane na mtu kwa njia ya Mikono. Na kama unakwenda Kazini ukifika kazini kitu cha kwanza Osha Mikono yako kwaMaji na sabuni na uipanguse hiyo Mikono yako. hiyo itakusaidia kuepuka na hilo Janga la Maradhi ya Mlipuko wahoma ya Mapafu aka CoronaVirus ,lisiweze kukupata.

Mkuu face mask bila face shield ni kucheza pata potea. macho yanpokea virusi huku umeziba mdomo na pua tu.
 
Virusi vya Corona: Kuganda kwa damu, tatizo linalowakumba wagonjwa wengi walio katika hali mahututi lazua hofu

Wongonjwa wengi ambao wamekuwa na tatizo la damu kuganda katika mishipa wamekuwa wakitumia dawa za kujaribu kuyeyusha damu


Haki Wongonjwa wengi ambao wamekuwa na tatizo la damu kuganda katika mishipa wamekuwa wakitumia dawa za kujaribu kuyeyusha damu.

Wangonjwa wengi ambao wamekuwa na tatizo la damu kuganda katika mishipa wamekuwa wakitumia dawa za kujaribu kuyeyusha damu hiyo na kufanya tatizo hilo lisilo la kawaida kuwa la kipekee.

Huku idadi ya wagonjwa waliopo na waliofariki ikiongezeka, madaktari wamegundua kwamba Covid-19, ugonjwa unaosababisha virusi vya corona ni ugonjwa usiofahamika kwa rahisi zaidi ya ilivyodhaniwa.

Ugonjwa huo unaweza kuathiri viungo kama vile ini, figo, utumbo, moyo na ubongo.

Tatizo kubwa lakini ni jinsi damu inavyoganda katika mishipa ya wagonjwa wanaopewa dawa za kufanya migando hiyo ya damu kuyeyuka.

Migando hiyo ya damu inaweza kufika katika viungo kama vile mapafu, moyo, ubongo na kusababisha mshtuko wa moyo unaoweza kusababisha kifo.

Siku chache zilizopita, madaktari katika hopsitali ya Mount Sinai mjini New York walichapisha utafiti unaosema kwamba mgando wa damu hususana katika mapafu unawaathiri vibaya wagonjwa wa Covid-19 walio mahututi.

p08c4vpj.jpg



Virusi vya corona: Je, Madagascar wamepata dawa ya mitishamba kutibu virusi vya corona?
Wataalamu hao pia walifichua kwamba migando hiyo ya damu inaweza kusababisha ugonjwa wa kiharusi miongoni mwa wagonjwa vijana walioambukizwa virusi vya corona.

Madaktari katika mataifa tofauti wameripoti tatizo sawa na hilo.

Uchanganuzi wa wagonjwa 183 wa Covid-19 uliofanywa na wanasayansi wa China umebaini kwamba asilimia 71 ya wale waliofariki walikuwa na mgando wa damu.

Nchini Uholanzi utafiti uliofanyiwa wagonjwa 184 waliokuwa wamelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi thuluthi moja ya wagonjwa hao walikuwa na mgando katika damu.

Coronavirus inaweza kuathiri sio tu mfumo wa kupumua lakini pia viungo vingine kama vile ini, figo, matumbo, moyo na ubongo

Coronavirus inaweza kuathiri sio tu mfumo wa kupumua lakini pia viungo vingine kama vile ini, figo, matumbo, moyo na ubongo
Nchini Marekani madaktari wengi wamesema kwamba migando hiyo ndio sababu kuu ya vifo miongoni mwa wagonjwa wa Covid 19.

Ijapokuwa migando ya damu sio tatizo lisilo kuwa la kawaida kwa wagonjwa walio katika hali mahututi, maafisa hao wa afya wameshangazwa na idadi ya wagonjwa wa Covid 19 walio na tatizo hilo.

Je, tatizo hilo husababishwa na nini?
Bado hakuna uamuzi wa pamoja kuhusu sababu za migando hiyo ya damu katika mishipa . Kufikia sasa kuna uvumi chungu nzima , alisema Coopersmith mtaalam wa chumba cha wagonjwa mahututi na profesa wa chuo kikuu cha tiba cha Emory University School mjini Atlanta, USA, akizungumza na BBC Brazil.)

Anasema kwamba kuna sababu nyingi ambazo lazima ziweko kwa damu kuganda na mwili hushindwa kuamua kati ya kuvuja damu na kuganda kwa damu hiyo.

Haijulikani iwapo migando hiyo husababishwa na virusi vya corona ama kinga katika hali yake ya kukabiliana na Covid-19.

Wagonjwa wengi huwa wamelazwa hivyobasi inaongeza hatari ya damu kuganda.

Haijulikani iwapo migando hiyo ya damu ni madhara ya kandokado ya mgonjwa ama iwapo migando hiyo inasababisha kufeli kwa viungo mwilini.

Kukatwa mguu, mshtuko wa moyo na kiarusi
Migando ya damu pia imeonekana miongoni mwa miili ya wagonjwa wengine.

Dkt.Gregory Piazza, mtaalamu wa magonjwa ya moyo mjini Birmingham na hospitali ya wanawake mjini Bostona pamoja na kuwa profesa katika chuo kikuu cha tiba cha Havard, anaammbia BC Brazil kwamba pia yeye alianza kugundua migando ya damu miongoni mwa wagonjwa waliokuwa katika cumba mahututi walio na virusi vya corona ambao walikuwa katika hali mbaya.

"Katika visa vingine tunagundua migando mikubwa katika mishipa ya damu iliopo karibu na moyo, alisema Piazza''.

"Inaweza kuwa katika mishipa ya kupeleka damu katika moyo na hivyobasi kusababisha mshtuko wa moyo au katika mkishipa inayopeleka damu katika ubongo na hivyobasi kusababisha kiarusi ama mara nyengine katika mishipa inayopeleka damu katika miguu na mikono na hivyo usababisha hatari ya mtu kukatwa mguu ama mkono''anasema.

Kisa kimoja kilichovutia watu nchini Marekani ni kile cha muigizaji Nick Cordero , 41 ambaye alilazwa hopsitalini mjini New York , aliambia BBC Brazil.

Damu kuganda kunaweza kusababisha matatizo kadha wa kadha kwa mgonjwa ikiwemo kifo


Damu kuganda kunaweza kusababisha matatizo kadha wa kadha kwa mgonjwa ikiwemo kifo
Wiki iliopita madaktari waliopo katika hospitali hiyo walitoa maelezo kuhusu wagonjwa watano wa virusi vya corona waliougua kiarusi.

Walikuwa kati ya umri wa miaka 33 hadi 49, na walikuwa na dalili chache ama hata bila ishara zozote za Covid-19.

Baadhi yao hawakujua kwamba wameambukizwa ama hata kubaini walikuwa na kiarusi, na hawakuulizia usaidizi kwa hofu ya kusababisha maambukizi hospitalini.

Kulingana na madaktari mgando wa damu katika miguu huonekana mara kwa mara miongoni mwa wagonjwa wa Covid-19.

Baadhi ya hospitai zimekuwa zikitumia tiba ya kuyeyusha mgando wa damu katika mishipa kwa wagonjwa wote wanaougua Civid-19.

Lakini wataalama wanaonya kwamba tiba hiyo inahitaji makini kwa kuwa inaweza kuongeza hatari ya kuvuja damu na kusisitiza kwamba utafiti zaidi unahitajika. Tatizo la wagonjwa wa corona linalowapatia hofu madaktari - BBC News Swahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom