Njia ya kuepuka mizinga ni kuahidi kumuoa uliye nae

Njia ya kuepuka mizinga ni kuahidi kumuoa uliye nae

Jaribu kuoa uone jinsi hayo mashuka yatakavyo rudi kwao mchana kweupee!!!.
 
Nitarud kusoma baadae ngoja nimalizie bia
79e3294377d0ab23de77b0f801813b4a.jpg
Bill ndogo sana hiyo demis
 
utafiti wako hauwezi kuwa kamili kwa kutumia sample moja tu jaribu wengine zaidi ukipata hitimisho ulete mrejesho
 
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Eee bhana ee mambo niaje wakuu wa jukwaa la mello. Kuna mbinu moja ambayo nataka kuwapa masela wangu muliochoshwa na virungu vya mademu

Mademu wamezid kila siku kupigana mizinga tu sasa leo nimekuja na mbinu moja hatar sana ambayo itawanasua kutoka kwenye mikono ya mizinga had sehemu salama kabisa

Mimi hii njia nimeitumia na nimefanikiwa kabisa tena bila mashaka yeyote. .

Kuna manzi wangu mmoja niko naye kwenye mahusiano miez sita kwa sasa hapo mwanzo alikuwa akinipiga mizinga kinoma na alikuwa akinipiga mizinga sababu yeye ni mzur na ni cheupe lakin kwa jinsi nilivyo mafia kwa sasa hanipigi tena mizinga baada ya kumuahid kumuoa

Demu baada ya kumuahid kumuoa kadata kinoma na hanipigi mizinga tena kama zaman. Sasa hivi anaiba had shuka home kwao ananiletea gheto juz kaiba had sabun ya unga kama kilo tano hiv akaleta gheto yaan vitu kibao kwa sasa naletewa baada tu kumuahid kumuoa

Njia ya kuepuka mizinga ni kuahid kumuoa uliye nae


LONDON BOY
Ukiona hivyo ujue anapiga mizinga wengine na ndo hiyo sabuni anakuletea.
 
Back
Top Bottom