Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,389
- 1,337
Katika harakati zangu za kubana matumizi ili nitimize malengo yangu, nimegundua njia pekee ni kuachana na wanawake na kubaki na msichana mmoja ambae mpaka sasa hivi sijampata.
Nimeachana na wasichana 7, maana wote nilikua nikiwahudumia, takribani wiki sasa sipo kwenye mahusiano, inshort matokeo nayaona maana hela inakaa sasa, ukiachana na yake mambo ya kulala na wanawake 48 ndani ya miaka minne,
Wanawake wanamalizahela.