- Thread starter
- #21
kulikuwa na mbinu za kuwanyoosha watu bila viboko ..uchawi ndio ulikuwa suruhishoUjinga mtupu
kulikuwa na mbinu za kuwanyoosha watu bila viboko ..uchawi ndio ulikuwa suruhishoUjinga mtupu
Ukishauliwa kuna kunyooshwa tena hapo au ni mauwaji kwaajili ya chakula? Kama mgeni mlafi si mumuache ale ataondoka zake mbaki na vyakula vyenu kuuwana kikatili kwa kukwamishana mifupa kooni na kuvimbishana matumbo ya nn?kulikuwa na mbinu za kuwanyoosha watu bila viboko ..uchawi ndio ulikuwa suruhisho
utafanyaje Mkuu? ukirusha ngumi hewani utaonekana kichaahayo makofi nitakayoyapa hako kajini patakuwa hapatoshi kwa hilo sekeseke lake.
Upumbavu sana huo mkuukulikuwa na mbinu za kuwanyoosha watu bila viboko ..uchawi ndio ulikuwa suruhisho
wapi hiyo kijijini haipo, full mduaraSiku hizi self service msinitishe...
mi si ndiye nitakuwa namuona kwahyo nitakuwa napambana na kitu nachokiona.utafanyaje Mkuu? ukirusha ngumi hewani utaonekana kichaa
hahahahkwasasa hizo njia za zongo zinatumiwa na wazee walafi wenye wivu wa chakula.
Ila dawa ni kula magadi flani.
😀😀😂Mlafi mpikie nundu ya ng'ombe