Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

Nyie hii kitu inafanya kazi aisee...kuna mdada alinitongoza nilishindwa kukataa, nikajikuta nimemkubalia na kumuelewa🤣
 
Hapo lolote laweza kutokea,mwenye nia na ndoa anaweza akaliwa na ndoa ikaota mbawa,ama anaweza akamuonjesha jamaa na akakolea na ndoa ikapita moja kwa moja
 
Back
Top Bottom