Njia rahisi za kumfundishia mtoto hesabu

Mkuu njia ya kwanza sio sahihi... Mfano chukua 69 x 75 jibu haliji ukitumia hiyo njia uliyotueleza hapo
Nadhani hii njia ya kwanza ni kwa zile namba ambazo ukitoa kwa 100 na kuzijumlisha/kuzidisha unapata namba moja (single digit). Lakini kwa namba ambazo ukitoa kwa 100 na kuzijumlisha/kuzidisha unapata namba zaidi ya moja (multiple numbers) e.g 31 x 25 = 775; hapa panahitaji ujanja ambao siyo rahisi kwa mtoto. Mfano:
69 x 75 = 5175
100- 69 = 31 na 100 - 75 = 25
Then
31 + 25 = 56 na
31 x 25 = 775

100 - 56 = 44
Hapa sasa ili kupata 5175 basi 44 itajumlishwa kwa 7 tu ya mwanzo mwa 775.
 
Hesabu ulivyo ni baa la kitaifa ondoa hilo neno mtoto had watu wazima wengi wanahitaji hizo njia
 
Huwezi tumia kwa madarasa ya chini kama std 1 to std 5, hii itafaa kwa std 6 &7.
 
Nadhani hii njia ya kwanza ni kwa zile namba ambazo ukitoa kwa 100 na kuzijumlisha/kuzidisha unapata namba moja (single digit). Lakini kwa namba ambazo ukitoa kwa 100 na kuzijumlisha/kuzidisha unapata namba zaidi ya moja (multiple numbers) e.g 31 x 25 = 775; hapa panahitaji ujanja ambao siyo rahisi kwa mtoto. Mfano:
69 x 75 = 5175
100- 69 = 31 na 100 - 75 = 25
Then
31 + 25 = 56 na
31 x 25 = 775

100 - 56 = 44
Hapa sasa ili kupata 5175 basi 44 itajumlishwa kwa 7 tu ya mwanzo mwa 775.
Too complicated
 
Hapa ndipo ninapo ikubali jamiiforums maana ina madini ya maana kwa jamii kama ilivyo jina lake, ipewe kiumbele zaidi hii website
 
Back
Top Bottom