Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,289
Umezingua jomba....Umeshawasanua.
Hii njia nimeitumia mwaka wa 12 sasa
Hii njia nimeitumia mwaka wa 12 sasa
Royal tour??Mwanamke hakikisha uma muamrisha. Na atatakiwa atii. Royal
Vipi yule mchizi aliekua anakula vibaya anaendeleaje...🤣🤣🤣🤣Eti uandike ",Hannah Miles" nidate? Nashukuru Mungu nipo kwenye Asilimia 1 iliyobaki.
trueeUongooo uongooo
Mnabania mbususu zenuIla wanaume mnalalamika sana sku hizi humu.. mna shida gani kwani?
Tabia za ke kutamani maisha ambayo baba na mama zao wameshindwa kuwapa na kutaka vijana wa watu watekelezeIla wanaume mnalalamika sana sku hizi humu.. mna shida gani kwani?
Hawa watu wabishi tu hawajui kama mwanamke ananasa na vitu vya kijinga na kitoto sanatruee
mm kuna manzi yangu huwa kama nimeshaivuruga sasa nasaka msamaha
huwa nikipiga simu badala HALLOO au hata text huanza kumuita kwa ubin wa babaake
kama vile kwetu pwani vile tunavyowaita wamama watu wazima huwa tunawaita kwa ubin wa baba zao
BINT ABDALLAH(tamka biti abdallah)
Asalam Aleykum
basi hapo nakuwa nishamuweza hata kama alininunia kuongea na mimi lazima ajibu hiyo salam
try hiyo bro utapata majibu chanya