Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 44
hiyo uhakikaNitajaribu mkuu nione maana wamenitesa sana.
kiboko ni paka. kwa nyumba zetu za kupanga ukiwaua leo keo wanahamia wengine
Mimi nawashauri badala ya sumu aliyoitaja changanya na dawa ya binadamu ya mifupa (indocid) sina uhakika kama ndio inavyoandikwa ila ndio inavyotamkwa. Nawashauri hili hasa wenye watoto, huwezi kujua siku ya bahati mbaya. Kwa kuhepusha hilo bora kutumia dawa ya binadamu kwani madhara yake hayatakuwa makubwa kama mtoto kwa bahati mbaya akilamba. Matokeo ni mazuri kama kutumia sumu tu, ila hawatakauka, hivyo ukiwaacha mpaka wafe watakunukia ndani. Ili wasinuke ndani ukishaweka usiku asubuhi ujaribu kuwasaka utakuta hawawezi kutembea, basi unawachukua na kuwaulia nje na ukipenda unaweza kuwa rafiki wa kunguru.
Unaweza fanya supu! Nyama yao nikama ya kuku
Kwa mende hata kwangu sijapata ufumbuzi, nina appointment na hawa jamaa wa furmigation nitawapa feedbackMkuu hiyo poa vipi Mende
hawa nimefanikiwa kwa kuhakikisha nyavu za madirishani hazina matundu, pia nina mtindo wa kupuliza dawa kila jumamosi, nahakikisha mlango unafungwa ifikapo 12 jioni. ni ngumu but thats the only wayNa hawa narrow bee fly tunawafanyaje?
panya ni tatizo kwa kweli kama hii itafanyakazi utakuwa msaada mkubwa sana kwangu! Aksante in advance! ila ni wajanja saaaana siku hizi!Nadhani karibu wote mlishakumbwa na kero za panya na wengine bado mnasumbuliwa na hawa viumbe, mimi nilisumbuliwa sana lakini nilitumia hii mbinu na ndani ya siku mbili panya imekuwa historia, fanya yafuatayo;
- Nunua sumu ya panya ile ya rangi ya pink (mwambie muuzaji ni ya kukausha) ipo kama tambi inapatikana kwa wauzaji kirahisi sana (Tzs 1000 kama sikosei)
- Chukua samaki uwakaushe kwa mafuta hadi wakauke kiwango cha kuweza kusagika ila wasiungue, kisha wasage.
-Sumu ifunge kwenye gazeti na uisage kwa kutumia chupa au vyovyote.
-Changanya sumu na samaki kisha weka kwenye kipande cha box kama sehemu mbili au tatu kutegemeana na ukubwa wa nyumba.
ANGALIZO: hakikisha panya hawawi na access ya maji kwa usiku wote.
Hapo hawachomoki.... hakuna cha panya wa dar wala nini hapo.......
panya ni tatizo kwa kweli kama hii itafanyakazi utakuwa msaada mkubwa sana kwangu! Aksante in advance! ila ni wajanja saaaana siku hizi!
Kuna wachina wamemuuzia waifu lipira linamiguu kama ng'e wakasema ulipake mchuzi panya aking'ata ananata lakini wapi!... ila inaonekana panya wanaliogopa hilo pira maana sijawaona tangu linunuliwe K'Koo sh 500 tu.
mende tunawafanyaje mkuu? Tabu kweli wapuuzi hawa