Njia rahisi ya kufika Pangani Tanga

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,071
3,717
Wakuu,

Kuna jamaa yangu kahamishiwa kikazi Pangani Tanga, sasa yeye ana gari ndogo aina ya Toyota Porte na alikuwa anataka ku drive na familia yake mpaka Pangani sasa anauliza the best way ya kwenda nalo hilo gari ni kupitia Tanga mjini then aitafute barabara ya Pangani au aende mpaka Mkata then atumie njia ya kwa Msisi.

Njia ipi ni friendly kwa magari madogo? Na barabara zikoje?

Naomba kuwasilisha
 
wakuu kuna jamaa yangu kahamishiwa kikazi Pangani Tanga sasa yeye ana gari ndogo aina ya toyota porte na alikuwa anataka ku drive na familia yake mpaka pangani sasa anauliza the best way ya kwenda nalo hilo gari ni kupitia tanga mjini then aitafute barabara ya pangani

au aende mpaka mkata then atumie njia ya kwa msisi

njia ipi ni friendly kwa magari madogo?? na barabara zikoje??

naomba kuwasilisha
Zote hizo ni vumbi tupu, pia ipo njia ya kupitia muheza mjini pale pemben ya kituo cha mafuta copec, pia ipo njia ya kupitia bagamoyo-saadan- pangani.. Ila nayo ni vumbi tupu.. Tena afadhal kipindi hiki kwa saabu hakuna mvua ila kipindi cha mvua ndio hakufai...
NB:YA BAGAMOYO SIJAWAHI KUIPITA..
 
wakuu kuna jamaa yangu kahamishiwa kikazi Pangani Tanga sasa yeye ana gari ndogo aina ya toyota porte na alikuwa anataka ku drive na familia yake mpaka pangani sasa anauliza the best way ya kwenda nalo hilo gari ni kupitia tanga mjini then aitafute barabara ya pangani

au aende mpaka mkata then atumie njia ya kwa msisi

njia ipi ni friendly kwa magari madogo?? na barabara zikoje??

naomba kuwasilisha
Hivi waliomhamisha si ndio wanawajibika kumpa taarifa zote muhimu?
Mbona sion sababu ya kuleta hapa?
 
Hizo njia zote hazina lami, labda aende mpaka mjini then pangani kwakua ni barabara kubwa ni rahisi hata akipata break down anaweza kupata msaada. Kuna njia ya kutokea Muheza pia ni shortcut ukilinganisha na ya Tanga mjini lkn haijulikani hali yake.
 
Tanga ni mbali ila lami sehem kubwa. Ya Muheza hapana ni mbaya. Bora bagamoyo
 
Hivi waliomhamisha si ndio wanawajibika kumpa taarifa zote muhimu?
Mbona sion sababu ya kuleta hapa?

wewe juzi juzi ulileta thread ya kuwataka wauzaji wa vinanda, magitaa sijui madudu dudu gani kwanini usingewafuata kariakoo kulikuwa kuna sababu ya kulete hapa

haya ukaja na thread nyingine ukiiponda ofisi za chadema kwani sanduku lao la maoni hukuliona mpaka ukaleta hapa??

sababu ya kuweka hapa ni kuwa unampa mtu mwingine information za barabara hiyo kwani inaweza msaidia siku za mbele

leo sina mood ya kutukana usitake kunianzishia

pathetic
 
Hizo njia zote hazina lami, labda aende mpaka mjini then pangani kwakua ni barabara kubwa ni rahisi hata akipata break down anaweza kupata msaada. Kuna njia ya kutokea Muheza pia ni shortcut ukilinganisha na ya Tanga mjini lkn haijulikani hali yake.

njia ya tanga mjini hadi pangani ikoje hali yake?
 
Apite hii
Bagamoyo-saadan-mkwaja-sakura-bweni-pangani
 
Kwa gari dogo ni heri aende mpaka Tanga ndio afuate njia ya pangani hizo nyengine sio rafiki kwa gari ndogo.
 
wewe juzi juzi ulileta thread ya kuwataka wauzaji wa vinanda, magitaa sijui madudu dudu gani kwanini usingewafuata kariakoo kulikuwa kuna sababu ya kulete hapa

haya ukaja na thread nyingine ukiiponda ofisi za chadema kwani sanduku lao la maoni hukuliona mpaka ukaleta hapa??

sababu ya kuweka hapa ni kuwa unampa mtu mwingine information za barabara hiyo kwani inaweza msaidia siku za mbele

leo sina mood ya kutukana usitake kunianzishia

pathetic
Teh acha hisia kali wewe, nilichotaka kujua kama wauliza kwa niaba au ni wew mwenyewe!
Nimegundua ni wewe ndo maana unawakaaa!!! Teh
 
njia ya tanga mjini hadi pangani ikoje hali yake?
Kipindi nilipopita mwezi march mwaka huu haikua mbaya kihivyo labda kwenye baadhi ya maeneo korofi. Lkn inatumika na wasafiri wengi kuliko ya muheza au saadani.
 
Back
Top Bottom