Njia rahisi ya kufika kuzimu

Njia rahisi ya kufika kuzimu

Pembe ya mbuzi ni ndogo viganja saba vya maji vitatosha? 'Archimedes Principle' inaonesha kua hayo maji hayatatosha kuweza kuyatemea humo mara saba.

Ili niwe na uhakika haya mayai ni ya kuku mweusi itabidi nimfuge mwenyewe, na siyo kwenda kuyanunua na kumuuliza muuza mayai.

Umetoa maelekezo ya kwenda ya kurudi vipi?

Huu uwekezaji una risks nyingi kushinda faida.
Kurudi ulipoenda utaelekezwa kurudi ni simple kiliko kwenda
 
mbina hiyo ya mwisho uliyosema rahisi ndio ngumu? hiyo ya kwanza ndio rahisi
 
Pembe ya mbuzi ni ndogo viganja saba vya maji vitatosha? 'Archimedes Principle' inaonesha kua hayo maji hayatatosha kuweza kuyatemea humo mara saba.

Ili niwe na uhakika haya mayai ni ya kuku mweusi itabidi nimfuge mwenyewe, na siyo kwenda kuyanunua na kumuuliza muuza mayai.

Umetoa maelekezo ya kwenda ya kurudi vipi?

Huu uwekezaji una risks nyingi kushinda faida.
Acha hofu marahisi sana
 
Anasema njia ya kwenda kuzimu pasipo tuambia faida zake ni zipi
 
Back
Top Bottom