Njia rahisi ya kufika home


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,069
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,069 2,000


Kuna watu wameomba niwaelekeze Temeke nilipo naomba ufuate maelekezo nyoosha na hii barabara moja kwa moja

<tbody>
</tbody>
Mbele utakuta mama lishe wanapakuwa chakula waache sogea kidogo

<tbody>
</tbody>
utakuta toroli limebeba matenga ya nyanya msubiri apite na wewe upite

<tbody>
</tbody>
ukivuka tu utakuta choo kinazibuliwa sogea mbele

<tbody>
</tbody>
utakutana na choo hiki kata kushoto

<tbody>
</tbody>
Mbele utaona uchochoro halafu kuna maji machafu yanakatisha ufatishe moja kwa moja

halafu ukiona wazungu wawili wanaingia kwenye mgahawa anza kuhesabu nyumba ya tano kutoka hapo natumai tutakuwa tumeelewana mpaka hapo
Ramadhani njema wadau.
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
huku ndo kule ukifika stendi usiondoke kaa hapo hapo nakuja kukuchukua zaidi ya hapo utajuta kwanini ulienda kuitafuta nyumba..
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,169
Points
2,000
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,169 2,000
Huku ndo home mzizi?? Chondechonde ndugu yangu hama huko haraka!huko ndiyo makao makuu ya kipindupindu,usisubiri uanze kuharisha kwa mdomo mheshimiwa
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,923
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,923 2,000
Uswazi bwana, mtu utakuta anasema "mtaani kwetu watu wanakera sana....", sasa hebu fika huko kwao uone kama utaona hata huo mtaa, ni mrundikano wa nyumba zilizojengwa kiholela tu.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,155
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,155 2,000
Umenikumbusha wimbo wa manduli Mobb(Daz P & Mh Temba)-Kama unataka Kuja Home
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,101
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,101 2,000
Maelekezo yote hayo hakuna hata ofisi ya CCM unaipita?
 
Mandown

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Messages
1,652
Points
1,250
Mandown

Mandown

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2012
1,652 1,250
..... haya nakuja kukusalimia....( lakini "PRADO" haifiki huko)
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,071
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,071 2,000
Kwa maelezo yako, hakuna mgeni atakayekuja. Labda awe ameshawah kufka hapo tena.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,688
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,688 2,000
huku ndo kule ukifika stendi usiondoke kaa hapo hapo nakuja kukuchukua zaidi ya hapo utajuta kwanini ulienda kuitafuta nyumba..
kuna mtu kwao msasani bonde la mpunga, nilikuwa namsubiria ccbrt. Nishamrudisha kwao na kuwatembelea zaidi ya mara 5. Ila njia siijui. Funniest part ni kuwa na kurudi barabarani ilikuwa inabidi nipewe mtoto wa kunipeleka manake nisingetokezea. Im glad ndugu yangu aliachana na yule bwana, mweh!
 
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
215
Points
0
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
215 0
MziziMkavu umenikumbusha sana maeneo ya keko kule mwana

Respect mwana
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,869
Points
2,000
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,869 2,000
Ndio kwetu huko,ikitokea ajali ya moto hapo..usiulize!
 
K

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
2,470
Points
1,225
Age
38
K

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
2,470 1,225
huko lazima kila mtu atembee na mapanga ikifika saa 12 jioni
 

Forum statistics

Threads 1,284,539
Members 494,169
Posts 30,831,030
Top