G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 666 Jan 31, 2015 #21 Jela hiyo na huo utaalamu wako watakufungulia kiwanda ukiwa ngome maana wabongo akiuliza hivyo ujue kaisha yadobanga mambo.
Jela hiyo na huo utaalamu wako watakufungulia kiwanda ukiwa ngome maana wabongo akiuliza hivyo ujue kaisha yadobanga mambo.
fundichupi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 382 Reaction score 238 Jan 31, 2015 Thread starter #22 Jaman msinisakame... Mie nataka tuu ushauri which ni nafuu kidogo maana..........
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 31, 2015 #23 fundichupi said: which ni nafuu kidogo maana........ Click to expand... Beba vyako ukimbie,utarudi baadae mambo yakipoa
fundichupi said: which ni nafuu kidogo maana........ Click to expand... Beba vyako ukimbie,utarudi baadae mambo yakipoa
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Jan 31, 2015 #24 Hahahahahaha fundi chupi!!!! pichuu pichuu mie hoi
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,818 Reaction score 26,194 Jan 31, 2015 #25 Usikimbie bila notice bwana fundi, onyesha ufundi wako pia katika hilo
fundichupi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 382 Reaction score 238 Jan 31, 2015 Thread starter #26 Ila pia msichana mhusika ananizid age na hata kimuonekano nikikaa nae watu wanahoji isije kuwa ananibemenda...!
Ila pia msichana mhusika ananizid age na hata kimuonekano nikikaa nae watu wanahoji isije kuwa ananibemenda...!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Jan 31, 2015 #27 Una umri gani kwani?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,842 Reaction score 131,778 Jan 31, 2015 #28 utafiti said: Hahaha hii ID nimecheka sana Click to expand... Yani nimecheka sana! Nashindwa kuelewa huwa watu wanafikiria vitu gani wakati mwingine, hapa ndio unaamini kuwa ubongo wa binadamu ni very complex..
utafiti said: Hahaha hii ID nimecheka sana Click to expand... Yani nimecheka sana! Nashindwa kuelewa huwa watu wanafikiria vitu gani wakati mwingine, hapa ndio unaamini kuwa ubongo wa binadamu ni very complex..
NAJA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 475 Reaction score 167 Jan 31, 2015 #29 Hiyo kweli ni njia panda, usikwepe majukumu kumbuka na mungu pia akuongoze vyema
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jan 31, 2015 #30 Kwa nini mtoe mimba au mtelekeze watoto???? Mnadhani condom ni pambo la m**o???
fundichupi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 382 Reaction score 238 Jan 31, 2015 Thread starter #31 Swali lako zuri #perry ila cdhan kama umri wangu utaksaidia. Ww npe ushauri umri wangu ama wa mwenza niachie mm
Swali lako zuri #perry ila cdhan kama umri wangu utaksaidia. Ww npe ushauri umri wangu ama wa mwenza niachie mm
fundichupi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 382 Reaction score 238 May 30, 2015 Thread starter #32 Kwa hio ushauri wenu wa vito ni upi..!?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 May 30, 2015 #33 Yaani wewe fundichupi, kweli kiboko asa una wamimbaga ukiwa unawapima size ama?
fundichupi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 382 Reaction score 238 May 30, 2015 Thread starter #34 #gfsonwin yaan wee acha tuu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 30, 2015 #35 Unaitwa fundichupi....???? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,992 Reaction score 1,294 May 30, 2015 #36 Hukugundua umri wake kabla hujamlala? Ndo umemgundua kakuzidi baada ya mimba? Hilo lako libebe
M man of the year JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 463 Reaction score 319 May 30, 2015 #37 hii ID yako imenichekesha mkuu nadhani wadada wanatafunwa kama miogo mikavu!
M mwakwetu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 789 Reaction score 291 May 30, 2015 #38 Iache na uilee
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 May 30, 2015 #39 usikimbie wala usitoe mimba. kubali majukumu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,807 Reaction score 55,554 May 30, 2015 #40 lady in action said: aaaaa fundi mambo Click to expand... Ushampa order?