Jamani hizi pesa zitatuharibia watoto, bora tu huyo mke asiende. Sio lazima kusafiri,kama mama ana akili, hataenda hiyo safari.
Kweli mkuu kwenda kukaa kwa muda mfupi hakuba haja ya kuanza kuumiza vichwa kama vile huna ndugu unao weza kuwaachia familia wangapi hapa tumekaa kwa ndugu? Ni wengi sana huku wazazi wetu wangalipolazima kuna atakayekuwepo kutoa msaada. Kama watoto wako ok kiafya, na unasafiri kwa muda mfupi, mimi sioni tatizo liko wapi. Maana maisha yanaendelea hata kwa "forced eviction" ambayo huwa inafanyika bila ridhaa ya mtu. Remember our lives are in the hands of God...
Kweli mkuu kwenda kukaa kwa muda mfupi hakuba haja ya kuanza kuumiza vichwa kama vile huna ndugu unao weza kuwaachia familia wangapi hapa tumekaa kwa ndugu? Ni wengi sana huku wazazi wetu wangalipo
Acha fikra potofu hata sasa anaweza teswa na wewe ukiwepo bila kujua si unashinda kaziniunajua kinachoumiza ni ile unamuacha mtoto mdogo nyumban ambaye hata akionewa hawez kusema na kama umekufa ni sawa ila kama upo that is another thing
kuna anayesoma je itakuwaje?
Mimi kwa upande wangu, ikiwa mke hataweza kuachishwa kazi, simruhusu kwenda nje...kama pesa me nitamlipa
Acha fikra potofu hata sasa anaweza teswa na wewe ukiwepo bila kujua si unashinda kazini
aisee mpo wengi wa stail hii. but kiukweli kwanini wanaume mnapenda wake zenu wawe hivyo yaani wasiwe na uhuru kama nyie mlivyo?