wewe ni mume wa mke na watoto 2. unaish nje ya nchi, mkeo yupo tanzania sasa mkeo kapata safari ya kikaz kwenda nje ya nchi je utakubali aende ama utakataa? nchi anayokwenda ni tofauti na uliyoko wewe.
yeye anakwenda kikazi na wewe uko huko kikazi. wewe kazi yako ni contract ya muda mrefu yeye ni safari ya muda mfupi. nyumban watoto ni wadogo sana ambao kubaki peke yao pasi usimamizi wa mzazi ni ngumu utafanyeje?
je wewe mama ama wewe baba mtafanyaje?
je unafikiri hela mnazotafuta wewe baba na mama watoto wanazifaidi kwa stail hii ya maisha?
hapo ni muhimu sana, na kama bado kuna wanaume ambao hawalifanyi hilo............Katika dunia hii ....maisha swala ni kujipanga.... mlipooana ulikuta mkeo kaenda shule kasomeshwa na wazazi wake, kifupi ana elimu yake, na wewe ulijua hivyo na pengine ulivutiwa na hilo sasa,..... mpe uhuru wa kwenda masomoni kujiendeleza au kikazi ... hamuwezi kukosa ndugu wa kuwaachia watoto kwa pande zote mbili ... kuna wadada house girls maalumu wanapatikana kwa kazi hiyo... wapeleke kwa ndugu nenda kwa wanaosajili house girl maalum ingia nao mkataba kwa kipindi chote mtakachokuwa mko majuu, dunia ya leo mama analeta na baba analeta .... hakuna kulala.....
inategemea na uhusiano wake na hao ndugu, kuwa na mji hakumaanishi huwezi kumsaidia ndugu yako kwenye issue kama hii.
mimi nikiwaga na safari na mume wangu hayupo yaani najichagulia tu this time nimwite nani aje kukaa na wanangu, yaani kupata mtu siyo issue kabisaaaaaaaaaaaaa
dah hili suala limenigusa maana hata mimi niko km hii though yakwangu inahusisha kuacha kazi kabisa,ninachoshauri huyu mama atafute namna ya kuwaacha watoto kwenye mikono salama yaani ndugu yeyote ht hawa ambao soon watamaliza form 4 karibuni aje akae hapo kwake wakisaidiana na hg plus awe anawapigia simu za kutosha akiwa huko lkn asiache kwenda sababu ht ofisini ataonekana mzembe na asioangalia ht trip simple tu atakuwa hazipati,pls asiache kwenda na huyu mume amsupport mkewe mambo yatakwenda vizuri tu!
Bibi si aje kwako,na house girl si yupo?kwani mke anakwenda kwa muda gani?unachosema ni kweli but imagine wewe uko mji mwingine ndugu mji mwingine istoshe watoto wanasoma hakuna mtu ambae anaweza kuja kukaa kwako kwani walipo huko wana ajira je utawakatisha watoto shule ili uwapeleke kwa bibi ama ndugu? ama utawaajiria maid wa mkataba ama utaacha kwenda ama utawaacha peke yao na mdada aliyeko nyumban?
rafiki yangu, ni vizuri sana kuwa na uhusiano mzuri sana na wale ndugu zetu wa kijijini.unachosema ni kweli but imagine wewe uko mji mwingine ndugu mji mwingine istoshe watoto wanasoma hakuna mtu ambae anaweza kuja kukaa kwako kwani walipo huko wana ajira je utawakatisha watoto shule ili uwapeleke kwa bibi ama ndugu? ama utawaajiria maid wa mkataba ama utaacha kwenda ama utawaacha peke yao na mdada aliyeko nyumban?
mwl mwenzangu hii mitihan ii ni migumu sana aisee.......... yaani bado kazi nzuri ni ualim when it comes to child rearing. tena wataalm wa childhood development huwa wanatufundisha kuhusu watoto kukosa upendo ndo hapa nauona kwa herufi kubwa.kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
kuna wabibi wafanya kazi. kama mimi mama yangu na mama wa husband wote wafanya kazi, sasa hapo labda kama safari ilipangwa muda mrefu uwaambie wajipange mmoja achukue likizo, otherwise imekula kwakoBibi si aje kwako,na house girl si yupo?kwani mke anakwenda kwa muda gani?
mlongo wangu, uyumwiki?kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
twende tu my dear, nakusubiri kwa hamuFP nakutafuta sana hebu twende pm kwanza kiidogo?
wacha tu i see!basi tu maishani htuwez wote kuwa na ajira sawa,dada zangu huwa nawaonea huruma kweli wanapoksa wadada home yani ni pasua kichwa mbya!AU kapata tirp sijui ya wapi inabidi aende ah!pesa tamu lakini yet mtoto nae anahitaji mapenzi mara nyingi wengi huishia hapa pa kuwaacha watoto aither na housegirl au nani sijui ,kuhusu kuwaachia mabibi inategemea na bibi mwenyewe,umri wake wengine wao wenyewe wanahitaji kulelewa sasa umuachie mtoto wa mwaka 1 au 3 ndo kinakuwa nini,hapo hakuna kufanya homeworks wala nini,hakuna kwenda kusali jumapili mara nyingi kama kabaki na dada,na hyo dada mwenyewe full kujiachia humo ndani!ah mi staki jamani nitalea tu wanangu!mwl mwenzangu hii mitihan ii ni migumu sana aisee.......... yaani bado kazi nzuri ni ualim when it comes to child rearing. tena wataalm wa childhood development huwa wanatufundisha kuhusu watoto kukosa upendo ndo hapa nauona kwa herufi kubwa.
yaani mpaka naleta uzi huu wamewaza sana juu ya nini kifanyike manake mke ukoo wake ni mdogo sana wajomba na mamma wadogo hana, mume ndo anandugu ila wako makwao. wadogo wa mke wote wako miji tofauti sana. bibi mzaa baba naye anauguza wazazi wakso hawez kuja huku na kipelekewa wajukuu ni kama kumtesa tu mama wa watu.huyo mke na mume hawana ndugu wala wazazi wa kuwatunza watoto kwa kipindi kifupi mke anachosafiri au?
kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
niyumwiki mlongo wangumlongo wangu, uyumwiki?
je kama unaenda shule au wewe mama upo shule na baba kapata hiyo safari na ni lazima aende utafanyaje? utaacha shule ukakae na watoto?