njia panda msaada plz...

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,714
wewe ni mume wa mke na watoto 2. unaish nje ya nchi, mkeo yupo tanzania sasa mkeo kapata safari ya kikaz kwenda nje ya nchi je utakubali aende ama utakataa? nchi anayokwenda ni tofauti na uliyoko wewe.

yeye anakwenda kikazi na wewe uko huko kikazi. wewe kazi yako ni contract ya muda mrefu yeye ni safari ya muda mfupi. nyumban watoto ni wadogo sana ambao kubaki peke yao pasi usimamizi wa mzazi ni ngumu utafanyeje?

je wewe mama ama wewe baba mtafanyaje?

je unafikiri hela mnazotafuta wewe baba na mama watoto wanazifaidi kwa stail hii ya maisha?
 
Hapana hizo hela zinawachimbia watoto kaburi
Chakufanya aende nao au aachane na trip

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hapana hizo hela zinawachimbia watoto kaburi
Chakufanya aende nao au aachane na trip

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

mmh!...............mbona umetumia lugha kali sana?
 
is this a theory question au umepata tenda nje bibie, usitusahau wana JF :lol:. blue response
 
Je huyo mama hana ndugu wa karibu wa kuweza kukaa nao? Je safari hiyo itamuweka nje ya nchi mama huyo kwa muda gani?
kwamba awapeleke kwa ndugu? manake wa kuja kukaa nao nyumban kwake hakuna ila atakaa miez 3.
 
mke abaki atunze watoto, hela mnazotafuta ni kwaajili ya maisha mazuri ya familia.
Hela haijai, inaweza subiri
ila malezi anayostahiki mtoto leo ukimpa kesho umechelewa.
 
Reactions: ral
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…