julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Habari zenu wadau?
Yapata mwaka toka nitambulishwe katika familia moja ya kifahari kama kijana mwenye maadili bora na mpole, japo mtambulishaji mengi alitia chumvi na kwa kuwa hakuwa ananifahamu kivile nilichukulia poa nami sikutaka kumwangusha nilikubaliana naye kwa kila alilo sema siku ile na kifupi alikuwa ananitambulisha kwa dada yake + mme wa dada yake, mtambulishaji ni mama wa miaka kama 37 hivi hivyo nao walimwamini pia.
Familia ile ina watoto wawili tu, mmoja wa kike anatarajia kujoin chuo first degree mwaka huu na wa pili (wa kiume)yuko darasa la tano! wakati natambulishwa wa kike alikuwa form six.
Baada ya utambulisho ule yule mama alinipigia simu yeye kama yeye akaniuliza miaka yangu, na alitaka kujua kwetu vizuri zaidi lakini pia alitaka niwe nawatembelea pale kwao kila weekend! nilimweleza ukweli zaidi kuwa mimi mwana wa mkulima mambo ya viazi, magimbi, mboga pori na maziwa sana tu! Hapa mjini fursa, uwezeshwaji na ni kama bahati tu. Wenzangu jembe kwenda mbele huko home.
Akawa ananitoa vichange vidogo vidogo mwisho leo kataka nimugegede huku binti yake alitaka kugegedwa kitambo na muda wote alikuwa anachat nami. Hata tulivyo anza sijui maana hakuna aliyemtongoza mwenzie ilitokea automatic tunaitana dear, darling , mpenzi n.k mwisho ahadi za kugegedana pindi kunako nafasi.
Mbaya zaidi binamu yake na huyo binti anasoma Afrika kusini anachat nami baada ya kutambulishwa na huyo binti kama mimi ni rafiki yake so yeye anaomba tuwe zaidi ya marafiki! Hadi naongea hivi hakuna aliye gegedwa nami wote ni maongezi na ahadi sasa nifanyeje?
Naomba ushauri wenu maana leo yule mama aliniita na nilipofika kanieleza huo mpango na kanipa zawadi ya birthday yangu, bintie naye kafanya hivyo (na maanisha kanipa zawadi ya kisiri kama yalivyo mahusiano yetu) japo yule wa South kaishia kuzungumza.
Mama mtu nimeahidi kumpa jibu baada ya wiki moja!