Manun'guniko
Senior Member
- Jul 23, 2014
- 155
- 59
Weka ya malkia na mkufu
Wkend c ndo leo mkuuKwanzia weekend nitaanza kutuma JOANA ANAONA KITU USIKU na ANGA LA WASHENZI.
Nishtue bac ukiweka..Kwanzia weekend nitaanza kutuma JOANA ANAONA KITU USIKU na ANGA LA WASHENZI.
Au anamaanisha jumapili?? Bora aje mapema!!Wkend c ndo leo mkuu
Au wk ijayoAu anamaanisha jumapili?? Bora aje mapema!!
Wki hii nafikiriWe tivu jamaan week end hii ya liniiii
Bahati nzuri mama aliniomba niwaheshimu wanawake, vinginevyo nikikufanyia vibaya nahisi nitamuumiza mama yangu na atahisi maneno yake yalienda bureNawasiwasi na jinsia yako, kinachokufanya kuuliza huko nini?
kama umeshindwa kufuatilia ulipoishia.. sie tukusaidiaje?