Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

Rafiki yangu umekuwa kikongwe hadi unashindwa kutofautisha kati ya ME na M E?
Kumbe uzee mbaya kiasi hiki eeeh?
Kuuliza nako ni kushindwa au ni uzee?
Mimi niliuliza swali. Na kwa hivi unavyojibu Nina hakika hata hukunielewa kabisa badala yake unaishia kunihukumu !
 
Shemela huyu mjinga kaniboa sana.
Ulijiboa mwenyewe !
Nina hakika hukunifahamu nilimaanisha nini kujibu vile.labda kwa kuaminishwa kuwa'watu wengine hawawezi matani' ndo ukahukumu sio?
 
Tive kaka lete story...
Titivuu linazidi huku ..
Kutawaka moto bila kiberiti kaka.....
 
Back
Top Bottom