Njia na taratibu zipi ni rahisi kubadilisha kituo cha kazi?

jac salum

Senior Member
Mar 23, 2017
183
129
NJIA NA TARATIBU ZIPI NI RAHISI KUBADILISHA KITUO CHA KAZI?
1. Kabla au baada ya kuripoti kituo cha kazi?
2. kutoka nje ya mkoa/wilaya au kubadirisha kwa ndani ya mkoa/wilaya?
3. Ni taratibu zipi zinahitajika kufuatwa ili kufanikisha uhamisho?
4. Kwa utawala huu wapo waliofanikiwa kuhama kituo kimoja kwenda kingine?
Mwisho: Mimi nimepata ajira mpya ya ualimu na ningependa nihame niende mkoa au wilaya nyingine na bado sijaripoti kituoni.
 
Si mmeambiwa hakuna kubadili vituo? Na hata kama mnaweza badili huo ni uhamisho ambao kwasasa umepigwa kufuli
 
Back
Top Bottom