Njia moja ya kumsaidia Mh. Kikwete

Mnajuaje kuwa haongozwi na Mungu?

Cuz hivi unafahamu kuwa watu wanakwenda kanisani na kusali just like a routine ili mradi aonekane na yeye amekwenda kansani...na hiyo haisadii kuondoa maovu yako je ni kwamba unataka kupata msaada kutoka kwa mungu au unamjaribu?...inabidi usali as you mean it...na mungu kusaidia...
 
imependekezwa humu kana kwamba Kikwete hamjui Mungu au hana msaada wa Mungu na hivyo anamhitaji Mungu.. swali langu bado lipo watu wamejuaje kuwa haongozwi na Mungu kiasi kwamba amuhitaji sasa? Na wale wanaotoa pendekezo hili wanajuaje kuwa wao wanaongozwa na Mungu?
 
matendo ya mtu yanaonesha
kuwa yupo mbali au karibu na Mungu....

huwezi ongea uwongo bila woga...
halafu uwe karibu na Mungu.
 
kuna wanasiasa wanakesha wakisali ili waupate uongozi ama madaraka, baadhi wanachukulia hizo kazi kama ajira na heshima na kunabaadhi wanalichukulia kama deni la kuwatumikia wananchi....system ya uongozi africa ni butu, hata hayati Nyerere pamoja na uzarendo wake wote hakufanikiwa kutufikisha kwenye kujitegemea, kwa sababu ya udhaifu mkubwa wa watendaji nje na ndani ya sirikali.......so uki invest sana mawazo yako kwa hawa wanasiasa, you will die crying.... wananchi wengi si wacharikaji, watu wa kupiga maneno na kuishi kwa mishenimisheni tu... hakuna mhindi waziri, lakini waliowengi wanapeta kuliko wazawa, wapemba au waarabu nao wengiwao wanapeta wametajirikia bongo sasa hivi hao ndio wafadhiri wa michezo, afya na siasa... nadhani wazawa siyo creative au aggressive kwenye kupigania maisha....maendeleo yataanzia kichwani kwako, wewe mwenyewe unaishi bila malengo, unategemea mwanasiasa wa kibongo atalala macho kwa ajili yako? vyama vyetu vya siasa bongo iwe CCM, CHADEMA, CUF etc ni vyama vya bendera au deal, ni vikundi vya wajanja wajanja tu...
 
imependekezwa humu kana kwamba Kikwete hamjui Mungu au hana msaada wa Mungu na hivyo anamhitaji Mungu.. swali langu bado lipo watu wamejuaje kuwa haongozwi na Mungu kiasi kwamba amuhitaji sasa? Na wale wanaotoa pendekezo hili wanajuaje kuwa wao wanaongozwa na Mungu?

Mwanakijiji,

Ukiongozwa na kiongozi anayeongozwa na Mungu lazima unasonga mbele lakini sisi tunarudi nyuma hii ni evidence ya kutosha na pengine hatuitaji imgine. Kuna kuongozwa na kiongozi anayeongozwa na mungu na kuongozwa na kiongozi anateongoza watu ambao wanaongozwa na mungu. Mfano Musa najua unajua mpaka ile issue ya wingu (lakini walikuwepo watu wakengeufu humo). halafu farao pia najua unajua kuwa alikuwa aongozwi na Mungu ila alikuwa anatawala watu waliokuwa wanaongozwa na mungu.

Tatizo ni kwamba sidhani kama tumewahi kuwa na kiongozi ambaye alikuwa anaongozwa na Mungu katika taifa letu. Watu wengi wanadhani kuwa ili uongozwe na mungu ni lazima uwe mlokole kama shalom, ni lazima tutofautishe maisha binafsi na mamlaka ambayo kiongozi anapewa na hapa naongelea mamlaka. Kiongozi anayesema kwa Mungu naomba hekima kutoka kwako ili niweze kuwatumikia hawa watu vizuri, kiongozi anyesema kuwa mungu nakuahidi kuwa nitatenda haki katika mamlaka hii uliyonipa. Kiongozi anayesema kuwa mungu karibu ikulu na unisaidie kutawala

Hili la kujua kuwa unaongozwa na mungu mzee hebu soma Kumbukumbu la torati 28: 1-14 na kama hauongozwi na Mungu malizia 16 na kuendelea. Hivyo usishangae watu wanapokuja kuchukua dhahabu zetu !
 
Back
Top Bottom