na mambo yakiendelea hivi.....the worst is yet to come.....
Hapo kwenye nyekundu mimi naamini hivyo Mkuu
bubu..
Kikwete anatakiwa kuzungumza
na mungu wake na kumuomba
ampe muongozo.....
huwezi ongoza watu milioni 40
kwa ujanjaujanja.....
lazima awe honest na aombe msaada
kwa mungu.....
mimi naamini hivyo......
Mkuu Boss, sijui hili la kuongea na Mungu kama litawezekana. Kuna kipindi Viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu walitoa kauli moja kwamba nchi inaenda mrama na kwa maoni yangu wakati ule ulikuwa ni wakati muafaka wa Kikwete kuongea na Mungu wake lakini sidhani kama alifanya hivyo maana bado anaendeleza usanii tu na kutudanganya Watanzania kila kukicha tena bila hata woga. Kwa mfani hili la kutaka zijengwe flyovers wakati tuna matatizo makubwa katika mashule yetu, katika mahospitali yetu kwanini asiyape haya kipaumbele kwanza kabla ya hizi flyovers. Ni msanii tu wala sijui kama anamuogopa Mungu yuko tayari kusema lolote lile ili Watanzania wampe KULA.
I salute u for ur wisdm Boss!
Viondozi wa siku hizi sijui kama wanatambua kuwa Mungu ndio huwaweka madarakani na pia wanahitaji kila mara kumwendea kuomba msaada! It look theoretical but its very true!NAKUMBUKA baba wa Taifa alimuweka Mungu mbele sana hata kama alikuwa na mapungufu yake.
nionavyo mimi hana choice......
akiendelea hivi.......
sipati picha hali itakavyokuwa......
nionavyo mimi hana choice......
akiendelea hivi.......
sipati picha hali itakavyokuwa......
I salute u for ur wisdm Boss!
Viongozi wa siku hizi sijui kama wanatambua kuwa Mungu ndio "huwaweka madarakani" kwani mamlaka yeyote huwekwa na MuNGU na pia wanahitaji kila mara kumwendea kuomba msaada! It looks theoretical but its very true!NAKUMBUKA baba wa Taifa alimuweka Mungu mbele sana hata kama alikuwa na mapungufu yake.
Tuacheni haya mambo ya kufikirika jamani!Mungu anamuweka nani madarakani?Au mnaconfuse taifa la Israel vs TZ?Ningeshukuru kupata ufafanuzi.
Off Topic;btw nimeipenda hiyo avatar yako,kama ni picha yako unalipa mama no doubt.
Hali itakuwa mbaya sana kuliko ilivyo sasa, angekuwa na mapenzi ya kweli na nchi yetu basi angetangaza kutogombea tena 2010 ili CCM imsimamishe mtu mwingine, lakini na yeye ni lazima akae awamu mbili hata kama utendaji wake ni sifuri.
Not as per sheick Yahya Hussein,kumpinga JK ni kumpinga Mungu,na ukijaribu kumpinga utakufa,so sioni kwanini JK awe na wasiwasi kama wananchi walio wengi wanamwamini Sheick Yahya.
sasa hili la mungu kuwa ndie aliewawekaI salute u for ur wisdm Boss!
Viongozi wa siku hizi sijui kama wanatambua kuwa Mungu ndio "huwaweka madarakani" kwani mamlaka yeyote huwekwa na MuNGU na pia wanahitaji kila mara kumwendea kuomba msaada! It looks theoretical but its very true!NAKUMBUKA baba wa Taifa alimuweka Mungu mbele sana hata kama alikuwa na mapungufu yake.
Tuacheni haya mambo ya kufikirika jamani!Mungu anamuweka nani madarakani?Au mnaconfuse taifa la Israel vs TZ?Ningeshukuru kupata ufafanuzi.
Off Topic;btw nimeipenda hiyo avatar yako,kama ni picha yako unalipa mama no doubt.
wewe jiulize hili......
kwa nini Kikwete ndie rais???
ana akili sana??no.
amesoma sana??no
anachapa kazi sana??no.
so why????
kwanini waliomsaidia awe rais,wao wenyewe hawawezi kuwa marais????
mwisho utaona mungu anahusika kwa namna fulani..
na ni mungu huyo ataweza kumsaidia iwapo atajifunza namna ya ku ask god's favour katika uongozi wake.
Yale ya shekhe yahaya si maombi ule ni utabiri wa kutumia mizimu, ni kweli rais Kikwete anahitaji kuwa karibu na Mungu wake na si kutegemea washauri wake ambao wengi wao wanampoteza anamhitaji Mungu ili amuongoze kuwafahamu wanaompoteza vinginevyo nani atamshauri kuwa washauri wake ndiyo wanaomponza? ni Mungu pekee.