Njia mbadala ya kujiingizia kipato halali

Njia mbadala ya kujiingizia kipato halali

doxtgblaze

Senior Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
115
Reaction score
5
Kutokana na changamoto mbali mbali za ajira..Mimi kama kijana wa kitanzania ikanibidi nifikirie nyia nyingi za kujikwamua na kupata kipato ambacho kitakuwa cha halili na kunisaidia kujikwamua katika kilindi cha umasikini....

niliwaza biashara nyngi za kufanya lakini karobu zote ziliangukia katika group moja la changamoto za kuliendesha ambapo nilitakiwa niwe na MTAJI MKUBWA kuanzia 4M ilikuwa inahitaji usimamizi wangu wa muda mwingi ili pesa ionekane na nisipokuwepo kipato changu kina athilika,

lakini kwa mara kadhaa nilikuwa nikikutana na fursa ya biashara ya mtandao(network marketing) lakini nilikuwa najifanya mjuaji na vimba kichwa na sitaki kusikiliza na kuelewa nini kinachofanyika(KUJUA KWINGI HAKUNA MAANA) LAKINI NILIBADILISHA mind yangu baada ya kukutana na rafiki yangu wa utotoni miezi miwili iliyopita ambaye yeye kwa wakati nakutana nae alikuwa anaingiza milioni moja na nusu na ana enjoy maisha bila ya kuwa na boss.

kuna msemo usemao kuwa watu waliofanikiwa si kwamba hawakukutana na vikwazo bali ni watu ambao hawakukata tamaa, mimi ninapenda kuwakaribisha watu wote wenye lengo la kujipatia kipato kwa muda wa ziada au muda wote mimi na timu yetu tutakuwa na furaha kukuelimisha kukuelekeza na kukushika mkono katika kuielewa biashara kwa njia ya mtandao yani network marketing... kupitia kampuni ya forever living

NJOO na maswali yako yote, Pia KWA WALE WANAOSEMA hawana mtaji wa kuanzia karibuni kuna njia nyingi za kufundiswa na zitakusaidia wewe kupata mtaji...
OFISI YETU IPO MAKUMBUSHO KWENYE STAND YA MABASI PALE KWENYE UCHUMI SUPERMARKET SIE TUPO SECOND FLOOR WATAKAO KUJA WANIPIGIE KWA NAMBA 0657088003 NITAKUWA PALE KUKUPOKEA NA KUKUSHIRIKISHA FURSA HII ILI UWEZI KUIONA KWA JICHO LA TAYU

KARIBU KAMA UNAHITAJI
KIPATO AMBACHO NI PASSIVE
KUTAMBULIKA
AFYA NJEMA
SAFARI ZA NJEE
NK CALL 0657088003

KUMBUKA PENYE WENGI HAPAKOSI WAPUMBAVU NA PIA, WISE MAN MAKES HIS OWN DECISION WHILE IMBACILE FOLLOW PUBLIC OPINION.........

NB LEO JIONI SAA KUMI NA MOJA TUTAKUWA NA MEETING KWA WATAKAO WEZA KARIBUNI
 
Wazee wa forever living... teh teh teh, biashara kichaa sana hii...
 
Nimetukania koromeoni, mfyuuuuu
Wezi wakubwa hao, wanatumia advantage ya watu wasio na ajira kuwaingizia pesa na wao wako ndani ya airconed offices.

The same to wale jamaa wa promotion X-S marketing vumbavu kabisa
 
nimetukania koromeoni, mfyuuuuu
wezi wakubwa hao, wanatumia advantage ya watu wasio na ajira kuwaingizia pesa na wao wako ndani ya airconed offices.

The same to wale jamaa wa promotion x-s marketing vumbavu kabisa

penye wengi wapumbavu hamkosi watanzania tusifanye maamuzi kwa kufata mkumbo
 
wakuu ila tubadilike na tukubali tu nert wok marketing kwa sasa hutunaujsnjs na hatuikwepi coz wenzetu wameshaanza ianza toka mudamrefu sana na kwa sasani sehemuvya mtaala mashuleni inafundishwa na kampuni ni nyingi mno kila siku zinajitokeza sema biashara hiikwa afrika inashindwa kwa sababu kuntu .
sababu hiyo ni zinalenga watu wenye vipato kwa mtaji wake.
hivyo tukubali tu ni mfumo tyr umeingia karne ya 21 namna nyingine ya kufanya biashara.
kama mlivyofuata digital from analog vivyo hivyo tubadilike but kama unaona inamanufaa kwako.
 
Back
Top Bottom