Njia kuu utata mtupu!

Thanx myn masai dada.its hard my dear,thank God and enjoy kabla hujafikwa.thanx alot
 
Mwanaume lazima atachepuka tu,ndo nature yake ilivyo,cha muhimu muhimize kuwa mwangalifu na atumie kinga huko kwa michepuko.Kama unataka maisha yaliyojaa stress jaribu kumbana mwanaume njia zote kuzuia asichepuke.
 
Pole sana, ila kwanini usikaze moyo konde na kumuambia ukweli.

Usiishi kwa kuhisi hisi mwambie tu
 
Kuna kipindi cha TV Ghana kinaitwa 'The StandPoint listen to the feminist side. Tafuta 'abusive relationship' topic'; kipo You Tube kitakusaidia ku deal na situation ulonayo....

May be utaweza ku decide when to stay, when to walk away and when to run....
 
Eeh...umenyanganya funguo za gari ili iweje? Nani ni mmiliki....? angalia usije kuwa unaongeza petrol kwenye moto badala ya maji

Ok katika hiyo TV program angali pia Healing after Cheating' ; 'The effect of broken homes on children'

na 'How to heal from cheating'

'Why do women stay in abusive relationships' na 'Mistakes Married Women Make'

Ni vipindi vizuri na educative

Asante mpondamali nimekuelewa.nishamwakia kawa mdogo,nimemnyang'anya funguo za gari
 
Inabidi upewe kazi usalama wa taifa....


 
naisubiria kwa hamu hiyo thread.
 
Hongera kwa kuwa mwaminifu!
Ombi langu kwako ewe mke bora ongea naye na umwambie jinsi ulivyoumia na jinsi ulivyokuwa mwaminifu kwake na umuulize je we nawe ukilipiza atajisikiaje?
 
Pole mpenzi ndoa zina changamoto zake,hivyo jipe moyo,asilimia kubwa ya wanaume wanapenda michepuko,Mungu atunusuru.endelea kuwa muaminfu.

Sio wanaume woote hupenda Michepuko.. Ila sisi wanaume 70% huwa hatupendi kuwakumbusha majukumu yenu kwa Waume zenu.. Jichunguze je ufanisi wako ktj mapenzi ulishuka ? Je ulianzaje kuchunguza nyendo za mumeo? Na alipogundua unamfuatilia alisemaje? Je yeye alishawahi kukuchunguza?
Nauliza hivyo kwakua cc wanaume tunajiamini sana ila hatupendi kufuatiliwa.. Na endapo mwanaume atagundua kua anafuatiliwa ,hujisikia vbaya sana.. Na hapo ndipo mtifuano huanza ndani ya familia..
Jambo la msingi ni kumuamini Mumeo na usisikilize ya watu wa pembeni kwani masuala ya Ndoa humalizwa na Walio ndani ya Ndoa ,jitahidi sana kusuluhisha wewe Mama kwani Mama ndiye mlezi wa Nyumba!!
 
Kila nikiwazana siku zombie atanipiga chepuo, napata tumbo la kuraha

Eee Mwenyezi tujalie

Kuna service road kabambe kimara ila tatizo ni ina mahandaki.

hahaha pole mwaya, ila usiache kwenda kanisani labda majeraha yako yatapona. MUOMBEE MUMEO.wangu namuombea na hajawahi kuchepuka mwaka wa 15 huu.

cc Kongosho, snowhite
 
Eehh!!! Yote haya kisa m b o o moja tu? Yenyewe hata haifiki robo kilo?

 

Well said mkuu...

Mtoa mada endelea kumuomba Mungu amrudishe katika njia kuu. Mungu wetu ni Mwema hakika atatenda jambo katika hilo.... Usidanganywe kulipiza kuwa na michepuka hakika utaikimbia ndoa!!!
 
Price12 huo sasa ndo muda wa kusimama imara for this hard time ulikosea kumuamini 100% The theory ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO inge bi applied tangu mwanzo labda leo usingekua katika hayo maumivu!!!!
 
Alifanya nini? Kwani unaonekana unalalamika kihisia tu, endelea kumwamini, zidisha upendo, na ubunifu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…