Njia kuu utata mtupu!

Alikuwa anatumia sana hichi kitabu sasa kasahau kinunua chapter 2 hajui kama imeshatoka nini ???
 

Attachments

  • 1397793027335.jpg
    34.1 KB · Views: 212

pole sana nenda kanisani stress zitapungua ,usikae nyumbani.tutakuombea
 
utakuwa hujampa ndogo tuu huyo...wenzako wamemuonjesha sasa amua moja na wewe umpe hiyo asali abaki njia kuu au umnyime aendelee kuchepuka as keshaonja asali amechonga mzinga.
 

Yaani miaka 11 unajiamini kabisa mmeo hajatoka nje? mwanaume rijali kabisa? Poor you!!

Kwa taarifa yako alishaanza kuchepuka mwaka wa kwanza tu wa ndoa. ndivyo wanaume tulivyo. Sema kakosea step kidogo tu ndo ukamfumania baada ya miaka 11.

Hapa nisimkwaze mjukuu wangu mpendwa tian
 
Last edited by a moderator:

Mkeo unamuamini?!
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kwamba mkiwa kwenye ndoa mnakuwa kama mko guantanamo bay.

ubunifu unakuwa zero, kila siku mwataka jinsi anavyokufa mende tu, hamjui kuboreshana aisee!
Hiyo ni sababu mojawapo ya msingi inayowafanya wanaume kuwa na michepuo, ujue wanawake wanakua wabunifu wa kimapenzi pindi wanapokuwa kwenye uchumba na wakisha fika kwenye ndoa yaani unaweza usiamini kile ambacho utakua unakiona eti kila siku ni kifo cha mande...badilikeni wanawake mliopo kwenye ndoa
 
Mwanaume Hana shukrani,Hana zuri,Mara ngapi wanakuwa dhaifu lakini tunawasitiri,tunachukuliana nao!inawezekana hata kutoka nje wao ndio wako poor in bed!thanx pia
 
utakuwa hujampa ndogo tuu huyo...wenzako wamemuonjesha sasa amua moja na wewe umpe hiyo asali abaki njia kuu au umnyime aendelee kuchepuka as keshaonja asali amechonga mzinga.
Mwanaume hata umpe nini haridhiki,kwa maji Huo aendelee kuchepuka
 
bora mtu aniambie anachepuka lakn co nimfumanie...ajihesabie siku tu mana sijuui nitamfanya nini.POLE SANA
 
Tatizo la ubunifu ni pande zote,hata kuna baadhi ya wanaume wako zero kitandani,ukisikia ametoka nje,unamhurumia,sometimes tunakuwa waaminifu coz ni tabia yetu siyo kwamba tunaridhishwa,ni shida tu.asanteni kwa ushauri
 
Yaani askuambie mtu,hata hapa sijamfumania anajutaje sasa,
 
Yaani askuambie mtu,hata hapa sijamfumania anajutaje sasa,hastaili uaminifu wangu,ni vile tu Imani yangu kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…