Njia ipi ni salama kwa mteja na muuzaji wa biashara ya mtandaoni?

mwaega

Senior Member
Sep 22, 2013
188
254
Labda nitolee mfano nachokifanya mm alafu tuchangie ili hili japo liwe sawa.
Mfano.

Mimi mfanyabiashara wa ASALI naishi Kibaha ila ninawateja Tanzania nzima.

Mara nyingi wamekua wakinipigia simu wakitaka huduma na mahali walipo sina wakala sina mtu nayemfahamu n.K

Je, tutumie njia gani ambayo ni salama kwa muuzaji na mnunuaji ili kuepuka sintofahamu?

Mchango ulenge kwenye usalama wa mteja na muuzaji ili tuwasaidie wafanyabiashara wa mitandaoni na wanunuaji wa mitandaoni.

NB sitangazi biashara nataka tupate idea yakusaidiana wafanyabiashra na wateja mitandaoni.
 
Njia Rahisi Na Ya Haraka Ni Kutumia Bus Tu Ambapo Shaka Hakuna
Zinafika Nchi Nzima Tanzania
 
Back
Top Bottom