Njia ile ni nyembamba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia ile ni nyembamba!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lole Gwakisa, Jan 3, 2011.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  DSC01273.JPG
  Wadau njia hiikweli ni nyembamba! lakini nikaipita hivi majuzi,
  Atakayenitajia ni wapi nampa mji!!
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hapo ulikuwa maeneo ya mafinga mkoani Iringa!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  You reminded me of oldies....njia ile ni nyembamba yendayo kisimani. Uncle hiyo si nyembamba bali ni distance of shooting and sowwy donno the place.
   
 4. C

  Chan Senior Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tz hii au ughaibuni?
   
 5. K

  Kana Amuchi Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa ni mafinga karibu na njia panda ya kwenda Mufindi kwenye mashamba ya chai.
   
 6. r

  rmb JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni Tz mkubwa nchi yetu ina rasilimali nyingi! Huo unaouona mbele ni msitu wa Sao Hill
   
 7. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hii njia inaenda kwa bibi/nyanya yake Lole.
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bongo hapa hapa! Tena picha hii nimeichukua tar 28 Dec 2010.
   
 9. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Njia nyembamba inakwenda uzimani.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu Tukutu,rmb na Kana Amuchi mmepata haswaaa!!!
  Hii picha ni wide angle, msitu huu wa Sao Hill uliopo Mafinga unavutia sana na kuna sehemu unafunga barabara kwa juu.
  Mpiga picha alitokea Mbeya na anaelekea Iringa asubuhi sana.
  Vile vibao kwa mbele ni tahadhari kwa wasafiri kutotupa vichungi vya sigara kwani msitu huu wa mbao unaungua kama moto wa makaratasi!
   
 11. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Mbona msitu na hiyo njia umefanana kama makalio ya mtu.
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hapo ni mbeya highwaya baada ya kufuka mjini mafinga. sao hill forests
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Duh!!
  Mkuu Zakumi una imagination kali sana.
   
 14. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nishawahi kuchimba dawa hapo
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Duh !
  Mkuu Zakumi una imagination kali sana!
  [​IMG]
   
 16. C

  Chan Senior Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh aisee kwakweli mandhari inavutia..tuna Nchi nzuri sema basi tu.
   
 17. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Majirani wanaitolea macho ardhi hiyo yenye rutuba.
   
 18. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Na kwa mtindo wa 10% wataipata tu, tena yote sijui tutahamia wapi tuwapishe wawekezaji
   
 19. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nchi nzuri na ndo maana inauzwa kwa bei ya kutupa, huo msitu walishajimegea long time, watu wanaupukutisha lakini jitihada za kupanda miti ni ndogo.
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ZAKUMI unawaza tu mambo mabaya!
   
Loading...