Njia hii inafaa

Utakuwa ndio kwanza umetoka kuangalia filamu ya 'coming to america' ya eddie murph ya enzi zileeeee
 
Hahaha kaka mkubwa ukiwa na mawazo ya kuoa katika umri mdogo na vilevile ukiwa hujajiandaa huenda ndio ukawa mwanzo wa kutofurahia maisha.
Ndoa inahitaji ukomavu wa fikra, mwili na kipato...ni zaidi ya tamaa ya kulala bila nguo.

hapo kwa red...kama ni muelewa....lazima ajitambue....asante mangi...
 
HoneyBee
Wala sijakurupuka, i had to ask coz ur comment seemed to be more constructive na ndio maana nikataka kujua unaonaje mtu kuangalia kigezo cha what's in the wallet bila hata kufanya analysis ya mambo mengine ambayo ni vigezo muhimu hata kushinda hizo wallets.
Otherwise i concur with u.
 
Last edited by a moderator:


bado hujawajua wanawake na maisha kwa ujumla wewe , hii imekaa zaidi kifilamu/tamthilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…