Njia Gani nzuri ya kusoma sms na calls za mtu (mpenzi) bila yeye kutambua

Kwa nini aachane nayo? Ukweli utakuweka guru ,kwa SMS za kawaida Mimi natumia simu ya techno spark 4 inaopotion ya message web,ikubonya kwenye uwanja was kuandika SMS,baada ya hapo unadownload qr za simu husika then unaziskani kwa simu yake charts zote unasoma bila shida,sorry kwa maelezo mafupi na huenda ukapata ugumu wa kuelewa
Hebu fafanua vizur mkuu hapa nataka nifanye vle mkuu
 
Nakushauri tu. Achana kabisa na kufatilia ma meseji yake. Kama unahisi hayuko mwaminifu, muite mwambie viashiria vinaonesha hauko muaminifu na nitakuacha! Akijali atabadilika ukiona viashiria vinazidi achana nae kwa wema tu.
nakataa kama tunashikana mbona tusishikiane simu?
 
Hv kumdukua mtu mwenye Kitochi au kiswaswadu inawezekana?
 
Ni kiwanda gani unataka ukigundue kwenye sms za mwenzio? I mean unataka uzisome ili ufanye nini? Kwamba huna sababu ya kumuacha ndio unaitafuta, simple mpigie au mtumie sms au muite mkutane face to face mwambie naona siwezi endelea na haya mahusiano sababu sina amani nayo, as simple as that!

Mi nikigundua mtu amefanya ujanja ujanja ku access mawasiliano yangu namuacha siku hiyo hiyo kama anataka aseme nimpe simu asome, infact kuna mtu amewahi nifanyia hivi, moja nilimuacha tu nilivyogundua, na kwakuwa alihusisha watu wa mtandao husika majina ninayo na ushahidi ninao maktaba siku zikinipanda naruka nao kizimbani! Kila mtu ana haki ya privacy!
 
Bora mtu aniombe simu yangu asome,kulikoni kuhangaikia kunidukua.
Akiniomba simu nitampa bila kufuta chochote.
 
mteke mpenzi wako, au muibie cmu,.. Problem solved ..jifanye kibaka mvizie kokote umkabe .. Baadae mtabembeleza hukui unajifanya hujui kilichotokea, sema kua makini usiumbuke.
 
Back
Top Bottom