njia ya uzazi wa mpango inategemea pia na matarajio yako ya siku za usoni. kutumia condom kama mnaweza kuwa na discipline hiyo ikisaidiana moja kwa moja na kalenda is the best way japokuwa inaweza kuwa na ajali. lakini ya pili ni kutumia loop/kitanzi ambayo ni physical barrier. ila kama ni muoga,wazo la kuwa unatembea na kitu mwilini linaweza kukufanya usiwe comfortable. pia kuna spermicide, ambayo huua sperms kabla ya kufika kwenye cervix.
ni vizuri ukaonana na wataalamu,ukawauliza maswali yote kuhusu kila njia, madhara yake, na mafanikio yake pia. japokuwa sikushauri kutumia njia zinazohusisha hormones interferance kwani huwezi kujua mwili wako utarespond vipi kwazo.