njeree wetu ni balaa..!

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
246
dah...! wazee kuna washkaji flani tunaenda kupiga nao story..! sasa jamaa wana mlinzi mmasai flani hivi..! yule jamaa bwana nilijua anatania kumbe ndivyo alivyokua anafahamu yani tulishangaa kishenzi na tulipo jaribu kumuelekeza jamaa alikua mbogo kinyama yani kwamba sisi ndio hatuelewi yani kwamba yeye ndio yuko perfect..! ni kwamba umeme ullikatika kama mnavyojua hali ya chi ni mbaya sana..! wakati unarudi akasema umeme umeanza kurudi huko town.. sema kwasababu nguzo za kule town ni ndefu ndio maana huku unachelewa kurudi yani alikua anaamini kabisa kua umeme ukija unajaa kwanza kwenye nguzo kama maji halafu ndio unaingia kwenye wire na kuanza safari tena..!
 
Back
Top Bottom