Pamoja sana mkuuHabari zenu wanajamvi, Bila shaka mnaendelea na mapambano ya kulijenga taifa.
Wiki ijayo nitaleta uzi humu kuelezea fursa ziliko nje hasa hapa Geneva nilipo ambapo kwa Tanzania mazingira siyo rafiki ya kiutafutaji Kama huku.
Asikudanganye mtu baadhi ya nchi za ulaya Kuna fursa kubwa ya kutoboa maisha kuliko Bongo Kama utakuwa umeingia kihalali.
Naomba niishie hapo tukutane Alhamisi next week
Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.Usisahau kuleta na:-
1. House rent prices compared to Tz
2. Usisahau na kodi ya Maputo/biashara ukilinganisha na Tz.
3. Kumbuka pia kutuambia prices za Bills za maji safi & taka pamoja na umeme ukilinganisha na huku kwetu Tz
4. Na mwisho kabisa naomba ukumbuke kutuambia kwamba kwanini wengi mliopo nje huwa hamfanyi maajabu huku Tz, zaidi ya kujenga nyumba za kawaida na kurudi na magari ya kutembelea pamoja na makontena yalio jaa house staff, ambavyo huwa mnaishia kuviuza pindi mnapo filia mkorejea Tz.....
Naomba kuwasilisha
Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukiaUsisahau kuleta na:-
1. House rent prices compared to Tz
2. Usisahau na kodi ya Maputo/biashara ukilinganisha na Tz.
3. Kumbuka pia kutuambia prices za Bills za maji safi & taka pamoja na umeme ukilinganisha na huku kwetu Tz
4. Na mwisho kabisa naomba ukumbuke kutuambia kwamba kwanini wengi mliopo nje huwa hamfanyi maajabu huku Tz, zaidi ya kujenga nyumba za kawaida na kurudi na magari ya kutembelea pamoja na makontena yalio jaa house staff, ambavyo huwa mnaishia kuviuza pindi mnapo filia mkorejea Tz.....
Naomba kuwasilisha
Mkuu, mimi binafsi ni mfano wa haya uyasemayo.....Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.
Hawa wataishia kukusanya vimilioni viwili vitatu then wanakujua kutusumbua likizo huku baada ya miaka kadhaa.
Nisisahau kusema kuwa wengibwao huko wanaishi gheto. Chumba kimoja wako kama sita. Kazi kulala kwa zamu.
God save us
Mkumbushe mtoa maada kuw alhamisi inatakiwa ajipange sawa sawaMkuu, mimi binafsi ni mfano wa haya uyasemayo.....
Kwa leo namba niishie hapa kwanza
Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.
Hawa wataishia kukusanya vimilioni viwili vitatu then wanakujua kutusumbua likizo huku baada ya miaka kadhaa.
Nisisahau kusema kuwa wengibwao huko wanaishi gheto. Chumba kimoja wako kama sita. Kazi kulala kwa zamu.
God save us
Mkuu, kama kipengele namba 4 umeshindwa kukijibu......Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukia
Nyie tunawafahamu sana. Mnaishi maisha ya shida mkija huku hata ku survive hamuwezi maana mnakua mmeaminisha watu kuwa mko matawi ya juu kumbe wabeba boksi tu ulayaMkuu tunafahamiana, labda nikupe short intro. Mimi Ni mhandisi na Nimefanya kazi serikalini kwa 5yrs yenye masharti ya kudumu na pensions mpka pale nilipoacha baada ya kupata nafasi ya kuja huku.
Mm nazani hupaswi kuongelea vitu usivyovijua kwenye maisha ya mtu
Na chakusikitisha anaonekana ana uzowefu wa kuishi nchi moja nje ya TZ....[emoji12] [emoji12]Mkumbushe mtoa maada kuw alhamisi inatakiwa ajipange sawa sawa
God save us
Basi sawa, lakini lazma ujue hata huyo mbeba mabox huku huwezi kumfikia wewe hata Mara 1000Nyie tunawafahamu sana. Mnaishi maisha ya shida mkija huku hata ku survive hamuwezi maana mnakua mmeaminisha watu kuwa mko matawi ya juu kumbe wabeba boksi tu ulaya
God save us
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi namsubiri mhandisi atuambie anafanya kazi gani huko.Na chakusikitisha anaonekana ana uzowefu wa kuishi nchi moja nje ya TZ....[emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja nikae kimya, nifiche aibu yangu miee.....
Bahati njema nami ni mhandisi kama wewe. Na niliajiriwa hapa Tz kwa miaka zaidi ya 10, na pia nikapata bahati ya kupata ajira nje ya Tz. Na nimefanya kazi kwenye zaidi ya nchi 5 tofauti na Tz.Mkuu tunafahamiana, labda nikupe short intro. Mimi Ni mhandisi na Nimefanya kazi serikalini kwa 5yrs yenye masharti ya kudumu na pensions mpka pale nilipoacha baada ya kupata nafasi ya kuja huku.
Mm nazani hupaswi kuongelea vitu usivyovijua kwenye maisha ya mtu
Kuna watu waki huko huwa inafika wakati nawakopesha. Wewe kubali ni limbukeni kama alivyosema UshimenBasi sawa, lakini lazma ujue hata huyo mbeba mabox huku huwezi kumfikia wewe hata Mara 1000