Njama za kumuua Obama

Badala kuandika habari kama iluvyo, badala yake umeiandika utakavyo, yale yale ya akina sitta na deo sanga.
 
Kaka BAK naona mtima chekwaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Wewe muongo hiyo millioni 500 ya Wamarekani umeitoa wapi,rekebisha hiyo kwanza tuendelee na mada uliyoiweka.
 
Ikumbukwe pia kuwa kuna mtu aliipiga ikulu ya white house risasi kadhaa na katika hali ya kushangaza walizi hawakufahamu kuhusu tukio hilo hadi lilipogunduliwa mpasuko kwenye kuta na dirisha na mfanya usafi siku nne baadaye.ni jambo la kushangaza kidogo
 
Hapa bongo kwenye ikulu yetu asingeweka hata unyayo ------ ana ulinzi hatar

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Ameua Ghadaf hata yeye akiuwawa na hao ni sawa tu
 
Point of correction😛opulation ya US haijafika 500M wajameni iko zaidi tu kidogo ya 300M..
 
Mungu amlinde tu Obama,
hata mimi sipendi aumizwe.
 
Sisi huku Africa tunadhani filam huwa ni burudani tu lakini sio zote ni burudani kuna zingine zinaelezea mambo yajayo kwa kuwa mambo mengi huwa yanapangwa na zingine zinaelezea mambo yaliyopo

24 series inaweza kuwa ni filam stahiki kwenye hili jambo

Kwanza ndio tamthilia ilioonesha Rais mweusi Marekani lakini pia alikutana na vitisho vya kuuwawa lakini haikufanikiwa ila alikuja kuuwawa baada ya kutoka madarakani

Njama za kumuua kama zinavyoonekana leo zinatoka kwa watu wa usalama ndivyo ilivyokuwa kwenye 24

Pia rais anakubalika sana kama ilivyokuwa kwenye 24

Haya mambo huenda ni yaa kupanga lakini mara nyingi hupangwa,cha msingi ni kuomba uzima tu ili tuweze kuyaona

Ila huenda akauwawa akitoka madarakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…