mzee kipinga
Senior Member
- Sep 30, 2014
- 141
- 18
Ni prOpaganda
Ulinzi atakaokuwa nao Edward ni zaidi ya ule wa Obama
Anaweza sema kwa mbinde kweeeliiHuyo jamaaa hawezi kufika huku kwetu?
Mye bado cjajua source iliyothibitishwa,maana wamarekan ni watu propagates
Aende wapi mpwa.
White house down!!
Hapa bongo kwenye ikulu yetu asingeweka hata unyayo ------ ana ulinzi hatar
Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
Wa shekh Hussen,lakini huyu si alikufa.?Hapa bongo kwenye ikulu yetu asingeweka hata unyayo ------ ana ulinzi hatar
Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
Sisi huku Africa tunadhani filam huwa ni burudani tu lakini sio zote ni burudani kuna zingine zinaelezea mambo yajayo kwa kuwa mambo mengi huwa yanapangwa na zingine zinaelezea mambo yaliyopoAliingia madarakani kwa kuchaguliwa na wazungu wengi,marekani ina idadi ya wananchi mil 500 na weusi wakiwa mil 80,kwa hiyo wapiga kura wengi ni wazungu,hata hivyo kuna kundi dogo la wazungu wabaguzi ambao roho inawauma sana kumuona Obama akiwa rais,kuruka ukuta wa ikulu ya white house hivi karibuni kwa mtu asiyefahamika hadi kuingia ndani ya eneo la ikulu hiyo,ni dalili kuwa ktk serikali ya Obama kuna watu wapo ktk system ambao wamepanga njama za kumuua rais huyu mwenye mvuto mkubwa duniani,kama walivyomua J.F Kennedy mwaka 1963,kwa wasiojua,Obama ni rais pekee wa US mwenye ulinzi mkali kuliko watangulizi wake wote,hiyo imetokana na asili yake,ikulu ya white house iliyoko mtaa wa penslyvania Washington inaaminika kuwa moja ya ikulu zenye ulinzi wa hali ya juu duniani,ndo maana isingewezekana intruder kuruka ukuta bila ya kuwezeshwa,hiyo ni dalili tosha kuwa kuna njama za kumuua Obama zikifanywa na walinzi wake anaowaamini,ku resign kwa Julia mkuu wa usalama wa rais ni danganya toto,anajua siri nzito huyo.