Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Wanadai hata baba yake aliuwawa!Mungu amlinde tu Obama,
hata mimi sipendi aumizwe.
Wanadai hata baba yake aliuwawa!Mungu amlinde tu Obama,
hata mimi sipendi aumizwe.
Yule jamaa alidhamiria na kumbuka ni mwanajeshi aliepigana vita vya Iraq na kuruka kwake ukuta na kuingia hadi kukamatwa kwake akiwa na kisu tayari kufanya mauaji tunaweza kusema kuwa ni Mungu pekee ndiye anamlinda huyo baba sasha.