Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Ami! hakika umejitahidi, lakini hapana kazi ngumu kama kumfundisha kipofu wa moyo. Moyo ukishaingia kiza ni kazi sana kiza kile kuondoka. Siwashangai wala hawanichukizi wale wanaopinga maendeleo ama kuukataa ukweli, kwani wengi wao ukweli moyoni mwao wanaujua ila kwa ujahili wao wanabisha ili kuwafurahisha wengine. Vivyo basi hujikuta watu hao wakitumika kwa manufaa ya wengine; Kichekesho ambacho mi hukiona ni kuhusu hiyo SUDAN wengi wa WATANZANIA na nchi nyinginezo hawaujui ukweli wa SUDAN, Wakaazi wengi wa Sudan ya kusini kabila kubwa ni Wanubi na jamii yake, na pia kuna makabila mengi madogo madogo kama waacholi, walugwara n.k. Kinyume na wanubi ambao wengi wao ni waislamu hayo makabila mengine wengi wao hawana dini. kanisa lilifanya jitihada toka miaka ya 1800 ili wabadilike lakini ilishindikana kutokana na mazingira ya kuhama-hama na vita zisizoisha baina ya koo tofauti na makabila. Lakini cha ajabu ukisikia wanasema WAKRISTO WENGI KUSINI MWA SUDAN!! Wakombolewe kutoka kwa WAARABU WAISLAMU wa KASKAZINI... Hii ni ajabu na kinyume na ukweli wenyewe. iko siku watakapomaliza kuigawa kitakachofuata ni VITA MPYA! Sijui itakuwa ya ukombozi mpya? kidini au baina ya makabila au koo??? Kwa kifupi tusubirie SOMALI nyingine.... WAGAWE UWATAWALE... Waafrika bado wako usingizini :embarrassed:
Mimi nadhani wewe una matatizo ya kufikiri. Kwanza kumbuka kuwa Nyerere alichukua shule za wakristo Mpwapwa, ILBoru, Kigurunyembe morogoro, Hosptali kama Mhimbili, KULE MWANZA zote zilichukuliwa toka kwa Wakristo ili watz wawe moja. Na mwislamu kama wewe uweze kusoma na kuandika email kama unavyofanya sasa. Bahati mbaya unaandika uwongo. Wakristo wange lalamika shule zote na hosp zote hizo zirudi kwao nchi nzima itakuwaje? Maana ni nyingi sana kila mkoa kuna shule/hosp ilikchukuliwa IKIWEPO KIBAHA SEC nk. Tafakari.
Duh! Wamisionari ndio waliojenga sio serikali ya wakoloni. Hivi leo kanisa fulani likijenga shule utasema ni kodi yako wew ustaadhi? Differentiation na integration ni ngumu, hata 1+1 unashindwa?Zile shule zilzotaifishwa na Nyerere zilikuwa zinamilkiwa na Wakristo lakini zilikuwa ni mali ya Waislamu na WTZ wote. Zile shule zilijengwa kwa hela za kodi za WTZ wakiwemo waislamu walikuwa wanatozwa kodi na Wazungu wakoloni.
Ami! hakika umejitahidi, lakini hapana kazi ngumu kama kumfundisha kipofu wa moyo. Moyo ukishaingia kiza ni kazi sana kiza kile kuondoka. Siwashangai wala hawanichukizi wale wanaopinga maendeleo ama kuukataa ukweli, kwani wengi wao ukweli moyoni mwao wanaujua ila kwa ujahili wao wanabisha ili kuwafurahisha wengine. Vivyo basi hujikuta watu hao wakitumika kwa manufaa ya wengine; Kichekesho ambacho mi hukiona ni kuhusu hiyo SUDAN wengi wa WATANZANIA na nchi nyinginezo hawaujui ukweli wa SUDAN, Wakaazi wengi wa Sudan ya kusini kabila kubwa ni Wanubi na jamii yake, na pia kuna makabila mengi madogo madogo kama waacholi, walugwara n.k. Kinyume na wanubi ambao wengi wao ni waislamu hayo makabila mengine wengi wao hawana dini. kanisa lilifanya jitihada toka miaka ya 1800 ili wabadilike lakini ilishindikana kutokana na mazingira ya kuhama-hama na vita zisizoisha baina ya koo tofauti na makabila. Lakini cha ajabu ukisikia wanasema WAKRISTO WENGI KUSINI MWA SUDAN!! Wakombolewe kutoka kwa WAARABU WAISLAMU wa KASKAZINI... Hii ni ajabu na kinyume na ukweli wenyewe. iko siku watakapomaliza kuigawa kitakachofuata ni VITA MPYA! Sijui itakuwa ya ukombozi mpya? kidini au baina ya makabila au koo??? Kwa kifupi tusubirie SOMALI nyingine.... WAGAWE UWATAWALE... Waafrika bado wako usingizini :embarrassed:
Kila issue, lina strategic mbinu zake. My point is:
1) Umujaribu kuutizama uarabu pekee - ndio nikakujibu KUWA ubaguzi hauna kabila: Mbona waafrica pia wabaguzi tena hata wenyewe kwa wenyewe? Nami nikakupa mifano ya mamilion wengi waliokufa nchi nyingi tena jirani na Tanzania ili labla ufahamu kidogo. Hii sio sababu msingi ya kuzikata nchi ama sivyo Tanzania mtajikuta na bantustan 120.
2) Iraq strategic rahisi ili hata hiyo vita watu waisupport ni "mass destruction weapons" Silaha sizisopatIKana zimechangia vita. Kilichofuatia ni urahisi wa vita kwa kutia vitina kwa kuwagawa waislam kimadhehebu na hii imeback-fire vibaya sana. Miaka 7 leo haijaulia and marekani imekuwa stuck. Afgan ni nchi ina madini mengi sana Uqaeda usiokwisha unatumika. Pia moto haujamizimika
Suala la Sudan, main issue is Politics kuliko dini au ujinsia na ndio maana ni bora ukizungumza kutumia logic na analysis sio feelings na Ubaguzi mindset.
Kwanza Waarabu wa Sudan ni weusi kama wewe sasa tatizo lako ni nini? Kama unafikiri mgawanyo ndio solution so let is be so. What is the problem?
Dinka will next have to fight with fellow Dinku. It will be less burden anyway.
Mbona hizi sura ni kama za watanzania!.Jee watanzania nao ni waarabu koko?.
Huyo jamaa aliyeshika fimbo kafanana sana na rafiki yangu fulani.Yule aliyevaa guo jekundu na kukunja mikono kifuani utadhani yule askofu aliyeshiriki kuapishwa Kikwete.Sasa jee wote ni waarabu?.
Hao hapo chini ni wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Sudad dhidi ya njama za nchi za magharibi.Jee nywele zao zikoje?
Kwa hiyo Ami unataka kusema Waarabu wa Sudan na waafrika hamna tofauti au unataka kusema sudan hamna waarabu? Maana naona napoteza muda kuongea na mtu ambaye labda hajui kuwa kuna waarabu Sudan
... hata tangazo lililomo kwenye avatar yako wadhani ni wachache wanaolitambua :teeth:
Afadhali umebadili avatar yako kureflect aina ya mageuko unayopigania!
Ndugu yangu hapa mtajitahidi kuwatoa watu wenye UJINGA lakini kwa sababu wengi wao ni WAPUMBAVU haitawezekana watoke katika UPUMBAVU wao. Hapana ugonjwa mbaya kwa wanadamu kama kutokumjua Mungu na kuuogopa ukweli. hapana tatizo kuu kama mtu kuziepusha fikra zake kuona yaliyo wazi. hapana kitu kiovu kama mtu kuusimamia uovu na kuikwepa haki...Kila issue, lina strategic mbinu zake. My point is:
1) Umujaribu kuutizama uarabu pekee - ndio nikakujibu KUWA ubaguzi hauna kabila: Mbona waafrica pia wabaguzi tena hata wenyewe kwa wenyewe? Nami nikakupa mifano ya mamilion wengi waliokufa nchi nyingi tena jirani na Tanzania ili labla ufahamu kidogo. Hii sio sababu msingi ya kuzikata nchi ama sivyo Tanzania mtajikuta na bantustan 120.
2) Iraq strategic rahisi ili hata hiyo vita watu waisupport ni "mass destruction weapons" Silaha sizisopatIKana zimechangia vita. Kilichofuatia ni urahisi wa vita kwa kutia vitina kwa kuwagawa waislam kimadhehebu na hii imeback-fire vibaya sana. Miaka 7 leo haijaulia and marekani imekuwa stuck. Afgan ni nchi ina madini mengi sana Uqaeda usiokwisha unatumika. Pia moto haujamizimika
Suala la Sudan, main issue is Politics kuliko dini au ujinsia na ndio maana ni bora ukizungumza kutumia logic na analysis sio feelings na Ubaguzi mindset.
Kwanza Waarabu wa Sudan ni weusi kama wewe sasa tatizo lako ni nini? Kama unafikiri mgawanyo ndio solution so let is be so. What is the problem?
Dinka will next have to fight with fellow Dinku. It will be less burden anyway.
...
Tukirudi kwenye mada:
Naogopa kutaja jina la mhusika kwa maana yeye hajui... ndio wanaosemwa kuwa wengi ni Wa-Dinka lakini kiuhalisia walio wengi ni Wanubi.
Hivi Mnadanganyika vipi???Data watu wanakaa maofisini wanazipika??? Arua, Moyo na Soroti -Uganda hayo maeneo yako kaskazini mwa Sudan? ama hujui kuna mpaka na Sudan?? Je Juba na Darfur ziko kaskazini? sihitaji kukutajia vitongoji, ukipita barabara inayotoka Kenya ama Uganda humo njiani kuna misikiti ya kiislam na Wanubi hawana historia ya kuwa Wakristo na kumbuka pia Wanubi utawala wao ulikuwa ukianzia kusini mwa Misri mpaka kaskazini mwa Kenya na Uganda. Na humo wakifanya biashara na kuingiliana na koo (kabila) nyingi za Wadinka. Hivyo basi ukijua kwamba kuna wa-Dinka wengi katika maeneo hayo jua pia na Wanubi wamo na takriban koo zao saba ziko huko kusini mwa Sudani. Na wengine wao ni mchanganyiko na wadinka. Hii hainistaajabishi ni kama vile wachina wanapokuja Afrika huona sote tunafanana nasi tuwaonapo husema wanafanana KISA MACHO TU!!Walioko Southern Sudan wengi ni Dinka na si Nubi na ndio maana kwenye majibu yangu hapo juu niliweka neno Southern Sudan kwa bold. Wanubi wana population kubwa vile vile lakini wengi wao georaphically wako north kutokana na mipaka iliyowekwa hapo awali. Kwa maelezo zaidi soma statistical information zozote za "Southern Sudan." Baada ya referrendum na kugawanjwa kwa Sudan mwakani, Wanubi wengi watabaki North Sudan na population kubwa ya Southern itaendelea kuwa Dinka!
Kwa hiyo ina maana unapingana na statistics za sensa zote za Southern Sudan zinazo onesha kwamba Dinka ndio wana population kubwa Southern Sudan?Hivi Mnadanganyika vipi???Data watu wanakaa maofisini wanazipika??? Arua, Moyo na Soroti -Uganda hayo maeneo yako kaskazini mwa Sudan? ama hujui kuna mpaka na Sudan?? Je Juba na Darfur ziko kaskazini? sihitaji kukutajia vitongoji, ukipita barabara inayotoka Kenya ama Uganda humo njiani kuna misikiti ya kiislam na Wanubi hawana historia ya kuwa Wakristo na kumbuka pia Wanubi utawala wao ulikuwa ukianzia kusini mwa Misri mpaka kaskazini mwa Kenya na Uganda. Na humo wakifanya biashara na kuingiliana na koo (kabila) nyingi za Wadinka. Hivyo basi ukijua kwamba kuna wa-Dinka wengi katika maeneo hayo jua pia na Wanubi wamo na takriban koo zao saba ziko huko kusini mwa Sudani. Na wengine wao ni mchanganyiko na wadinka. Hii hainistaajabishi ni kama vile wachina wanapokuja Afrika huona sote tunafanana nasi tuwaonapo husema wanafanana KISA MACHO TU!!
admission letter,
unapoteza muda na watoto wa allah hawa!
Walichomeza madrassa ndo wanachoandika humu. Ngoja tu wasudani kusini wajipatie uhuru wao hata kama al Qaeda wa humu ndani hawataki. Mwanamageuko, ami na john10 bado wana hangover za 'Islam will dominate the world'

you saved your enegy! Nafikiri umeelewa wana ka ajenda ndio maana hata historia wanaikataa. Very funny!You're right. Huu mjadala niliutaka sana na nimejitahidi kujadiliana na hoja zangu hazina element yoyote ya dini lakini naona majibu mengi yanakwenda kwenye dini bila kuchambua siasa za Sudan as such. Kuna wakati nilijitoa kuendelea kuchangia huu mnyororo lakini nilishidwa kujizuia nikarudi tena nikidhani kuna watu wapya wamekuja na hoja mpya, lakini wapi, ni dini tu! Sasa naondoka moja kwa moja na sitarudi tena kwenye huu mnyororo. Hata hivyo namshukuru Ami kwa kutoa hoja na Mwanamageuko vile vile kwa kubadilishana mawazo!!
na wewe uko ktk jihadi kama ndugu zako?Unaonesha ni ufinyu wa kimawazo na ufinyu wa eleimu na kutovumilia au kukubali mawazo ya watu wengine. Usiingize mambo ya kidini kila ukishindwa hoja.
au hii ni ile "Fundamentalist of Kikiristo?".
Tena hizo propoganda za kuupakazia Uislam kila zinapozidi, SubhanallAH, ndio uislam unazidi kuPAMBA NA KUongezeka WA Watu wanaoslim na mfano mzuri angalia huko Ulaya na Marekani mpaka nchi zingine kukiri kuwa zinakuwa za kiislam kwa kipind kichache kijacho. Ukweli hauzimiki hata ukijaribu. Nakushauri soma ndio ujibu. Ndege na vifaru vikuuwa maelf ya watu wasiokuwa na hatia hiyo kwako sawa? na muonewaji ashukuru tu afe tu hii ndio dini yako ya haki! - wake up!