KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 188
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red, kwa hiyo wewe ni nani kati ya Mwigulu na Nape? Ama unapima upepo? CHADEMA itabaki kama chadema siku zote wape taarifaNdugu wana JF,
Ndugu kwa Habari nilizozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba. Wanajua kabisa 2015 hata wakatambikie ni wazi hawawezi kushinda uchaguzi ujao [Wana CCM wote wanajua hilo Mwigulu unajua fika] hivyo wameamua kuja na staili ya aina yake ili kubaki madarakani, MBINU HIYO NI:
- Kuungana na chama cha NCCR Mageuzi na CUF ili kupata nguvu hivyo juhudi za kufanikisha mpango huu amepewa Nape na Mwigulu, kwa kiasi fulani hawa jamaa nimefanikiwa kumlainisha kiongozi wa NCCR Mageuzi kwa kumwomba mwenyekiti wao ampe ubunge, hivyo wanasubiri ajenda hiyo ijadiliwe kwenye kamati kuu ya hicho chama then wamalize mchakato wake.
- Kutengeneza Hujuma kabambe na kumpachika mgombea Urais wa CHADEMA ili kukidhoofisha zaidi, hii imepangwa kufanyika mwaka 2014 mapema ili kumfanya mgombea wa CHADEMA akose nguvu kisheria kugombea Urais [Viongozi wa mkakati ni Mwigulu Nchemba na Nape].
Wapenzi wa democrasia wote nawataka msipuuze hili bali ni jambo nyeti na lenye uhakika kabisa toka kwenye vyanzo vya habari za kishushu,
Nawakilisha.
Asanteni.