Njaa Noma!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Utafiti uliofanyika katika miaka ya hivi karibuni umebaini kwamba katika maeneo mengi ya wazi na barabarani hakuna vinyesi vingi kama zamani. Eti sababu kubwa ni hali mbaya ya kimaisha kwa vijana walio wengi kwamba huishi kwa mlo mmoja tu tena usiokidhi. Je, kuna mwenye maoni tofauti? Nawasilisha!!
 
Huo ni uongo kama kuhusu vinyesi wa2 wana2mia vyoo. Vijana wameelimika cku hizi.
 
Wakati nasoma o-levo smwhere tabora nilikuwa sipendi kutumia choo, huyoo poriniii.. Siku moja joka likaibuka nipo katikati ya shughuli, weee
 
Mi ni mkristu lakini nilipewa stori moja ya mtume muhammad.Mtume alikuwa na tabia ya kwenda msikitini mara kwa mara.Jamaa mmoja kwa chuki zake binafsi akajenga katabia ka kujisaidia haja kubwa katikati ya ile njia apitayo mtume kwenda msikiti.Basi ikawa mtume kila akikiona kinyesi,alimshukuru mungu kwa kumshibisha yule aliyekunya,then atayazoa na kuyatupa kando.Basi siku moja mtume alishangaa kuona njia nzima iko safi,hakuna kinyesi.Mtume akaenda moja kwa moja nyumbani kwa yule mnyaji.Alipofika,alimjulia hali kisha akamuuliza,'vipi ndugu yangu unaumwa nini,maana sijaona yale mambo yako kwenye ile njia yangu ya kwenda msikitini?!'.
 
<br />
<br />
Huo ni uongo mtakatifu,
 
Back
Top Bottom