Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Jan 9, 2017 #3 Asikwambie mtu njaa mbaya sana unaweza ukala hata ULIMI wako mwenyewe na shida ndiyo zinatufanya akili iwaze kwa kasi ya 5G
Asikwambie mtu njaa mbaya sana unaweza ukala hata ULIMI wako mwenyewe na shida ndiyo zinatufanya akili iwaze kwa kasi ya 5G
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,165 Jan 9, 2017 #4 Wanasema Mjini njoo na Akili tu Michongo yote utaikuta Jukumu lako itakuwa kuchagua mchongo upi unakufaa!
Wanasema Mjini njoo na Akili tu Michongo yote utaikuta Jukumu lako itakuwa kuchagua mchongo upi unakufaa!
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Jan 10, 2017 Thread starter #6 ydn said: Haha! Hiyo inaitwa flat board Click to expand... Jobha baba mweeeeh
Farudume12 JF-Expert Member Jan 7, 2016 621 346 Jan 10, 2017 #10 Kweli dunia ya Mungu, vitu vya mzungu
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,053 40,032 Jan 10, 2017 #11 Farudume12 said: Kweli dunia ya Mungu, vitu vya mzungu Click to expand... Hao faru wako mbona hawapumziki kunanihii...!!??? Ni wiki sass kila nikiwaangalia wamepandiana tuu au umewawekea superglue ??!!! Heheheh
Farudume12 said: Kweli dunia ya Mungu, vitu vya mzungu Click to expand... Hao faru wako mbona hawapumziki kunanihii...!!??? Ni wiki sass kila nikiwaangalia wamepandiana tuu au umewawekea superglue ??!!! Heheheh
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,142 12,132 Jan 10, 2017 #13 Aliyebuni huo wizi anastahili zawadi maana ameonyesha ubunifu wa hali ya juu