Njaa kali inayoendelea yaleta maafa makubwa

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,908
9,040
Kiangazi kinachoendelea kukumba maeneo mengi ya Kenya kimesababisha maafa kwa binadamu na mifugo.
Jamii za wafugaji eneo la Marsabit, kaskazini mwa Kenya zimepata pigo kubwa kwa kupoteza mifugo ambayo ni kitega uchumi kwao, walio wengi inawalazimu kuvuka mpaka hadi Ethiopia kutafuta misaada.
Hapa, mbuzi wanaonekana katika bwawa lililokauka maji.
Picha/Anthony Irungu
[HASHTAG]#bbcswahili[/HASHTAG] [HASHTAG]#kenya[/HASHTAG]
0ce6ee3995becdd4c56936643c24f1dd.jpg
62d0e37a1c4fee54fc2e010f419098f2.jpg
 
Huko sasa kweli kuna njaa Mungu awajalie kila la kheri na uvumilivu wa hali ya juu,
Na huku kwetu kuna ukamataji wa wahusika na washukiwa wa madawa ya kulevya, watu wakishiba hujiburudisha, hujiliwaza na kujipumbaza kwa hiyo MIHADARATI.
 
Njaa mwaka huu ni janga la Afrika mashariki
 
Back
Top Bottom