Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,497
- 34,811
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....
Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo wa sukari mara dance video , mara audio , mara rylics , mara yupo studio,mara anachomwa sindano na madaktari , mara anatembea yaani haielwek .....ulaya hawafanyi huu ujinga , accnt ipo official Kwa ajili ya mziki ,social life zitapostiwa na accnt zingine na watu huko , ...
Nawaza labda ni njaa Kali hvyo wanategemea hzo view wapate angalau mkate wa kila sku but some how mtindo huo unapoteza consistency ya accnt regards ina subscriber wengi.....
Huu mtindo aliuanza Diamond lakn naona now kapunguza Ila vijana wake wameufakamia Kwa fujo ,sio rayvanny , hata harmonize naye unakuta anatembea kwenye hotel anajirekodi anaweka ....
Ifikie hatua wabadilike , au ndo kutaka kuvunja rekodi ya view wengi huku content nyingi ni utopolo mtupu.....