Njaa inauma, nataka nikiuke utaratibu, nshaurini

Njaa inauma, nataka nikiuke utaratibu, nshaurini

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari wapendwa ,
hebu nshaurini nataka nielekee lunch maana utaratibu wangu wa kila ciku umenishinda.
Kutokana na ugumu wa maisha hua nna kawaida ya kula milo miwili kwa cku, chai saa nne na chakula cha usiku, ila nikizidiwa hua lunch naipata saa kumi ili iniwezeshe kusavaivu hadi asubuhi.

Wapendwa leo naona hali mbaya nimekunywa chai mapema naona hata saa kumi siwezi fika ,je nikienda lunch mda huu ntaweza kufika asubuhi au mnanshauri nile chakula gani kifike hadi asubuhi kesho, au nitoroke ofisini nikalale hadi ucku njaa ctaiskia then nile ucku.
 
best nimeandika kutokana na ugumu wa maisha , hebu nijibu njaa inanzidia mie
 
aaaaa umezidi na wewe best
huachiiiiiiii
 
Always fwata ratiba yako..........!! pole
 
my dear Suprise nakuletea chakula sasa ivi, ila anza kula karanga mbichi na maziwa
 
Last edited by a moderator:
Bi mkubwa mbona umetoroka tena?
 
hicho kipaji rafiki yangu then ni process, me nataka kwa leo kwanza, kwani wana alama, we c mmoja wao

kuna kijana nimemtuma akuletee lanchi boksi...kwani wewe vyakula vya kizungu si unakula? Kwani atakuja na Margerita Pizza kama hii hapa chini:

2792margerita_pizza.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom