Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,390
- 100,510
- Thread starter
- #41
Duh! Mpwa sema tu umejisikia kunitusi! Haina shida ni sehemu ya malezi na makuzi yetu. Asante pia kwa kuona point niliyoleta!akili zilizojaa matope utazijua tu. pointi yako ni ya muhimu naweza sema katika mwaka Unaoanza January hakuna kitu kingine kitasulubu watanzania zaidi ya njaa. Shida yako umeleta thread hii kisiasa wakati huohuo ukitahadharisha isichukuliwe kisiasa. Nakuunga mkono kabisa hali ni mbaya sana hivi tunavyoongea na itazidi kuwa mbaya hata kama mvua zitanyesha vizuri baadae bado kuna muda wa zaidi ya miezi mitatu ya kusubiri kukomaa kwa mazao.
Niiombe serikali na hasa mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli akae na jopo lake la mawaziri na wataalam wa majanga watangaze hali hii kuwa ni ya hatari na hatua stahiki kukabiliana na hali hii zianze kuchukuliwa mapema.