Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
Sina..we unayo?
Hapana...!!
Sina..we unayo?
ICHANA wengi wa vijana wako kwenye mawazo hayo na wanaingia kwenye ndoa kwa sababu hiyo ya kupata chakula na kushiba kila siku bila kujua kuwa hata kile chakula kinahitaji kupikwa vyema na kuongezewa viungo ili kiendelee kuwa kitamu kila sikuNakubaliana na wewe kama mtu ataoa kwa tamaa za kutaman chakula ndoa haitafika popote
Kwa maana kila akihis njaa ataendelea kutaman vyakula vingine.
Sababu za kuingia kwenye jambo lolote lile ndio huamua hatma ya jambo lenyewe
Kama ulikwenda kusoma ili upate kazi ukishaipata basi elimu yako ndio inakuwa imeishia hapo
Kwenye ndoa nako ni hivyo pia
Kama uliingia kwenye ndoa ili upate mtoto,ukishapata biashara inaishia hapo!
Nina jiran yangu anaoa Leo mke uji chezea njaa ya mwezi mtukufu wewe!! Ikiisha hiyo na ndoa kwishaaaaaaLakini inaonekana kwa wengine njaa ndii taarifa ya habari yenyewe!
Mkuu kama MTU ataingia kwenye ndoa kisa njaa au kutaman mtoto
Hiyo ndoa haitadumu
Lazima ufanye maamuzi na uamue kuvumilia raha na karaha , shida na furaha, masika na kiangazi
Ujitambue sio kisa mwenzio kakuambia yeye ndoa yake imeshikiliwa na njaa au upendo Hapana
Kufanya maamuzi na kukubali yote utakayoenda kupata huko ndani
Nina jiran yangu anaoa Leo mke uji chezea njaa ya mwezi mtukufu wewe!! Ikiisha hiyo na ndoa kwishaaaaaa
ICHANA wengi wa vijana wako kwenye mawazo hayo na wanaingia kwenye ndoa kwa sababu hiyo ya kupata chakula na kushiba kila siku bila kujua kuwa hata kile chakula kinahitaji kupikwa vyema na kuongezewa viungo ili kiendelee kuwa kitamu kila siku
Sawa lakini unadhani kama kula ndio kigezo kikubwa kukinai nako kupo
Unasema je kwenye kukinai?
Kwani mi sina tumbo(........)? Lol....Wewe ni wa kusikia njaa kweli?