Nizar Khalfan aitwa Tottenham

Jamani, Tatizo la Vyombo vyetu vya habari ni sensenalism! (sorry, kama sivyo inavyoandikwa!) Ni kasuku mno. Mtu akienda tu kwenye chumba cha habari na kusema chochote basi ni Habari! hata kusema tu wacheki -up na upande wa pili ama angalau waonyeshwe hiyo barua ya huo mualiko, waapi!

Tungependa sana angalau nasi tuwe na mchezaji anayecheza ligi iliyo bora kabisa ulimwenguni ya Barclays, lakini hii isituzuie kuhoji kila anayekuja na habari za mchezaji wetu kuitwa na Spurs ama na nani sijui.

Je huyo muandishi aliyeandika habari hii alijisumba angalau kidogo tu hata kwa kuingia kwenye mtandao wa timu hiyo na kuangalia ukweli wa habari hiyo?? Sina maana ya kwamba ni ya Uongo lakini at least ili kubalansi story yake!

Kuna siku kuna mtu ataibuka na kusema manU inataka wachezaji wanne wa JamboForum FC kwa majaribio na tukaanza kujipongeza na kumbe hata hatujaanza mazoezi kiasi cha kuonekana na scouts wa timu hiyo!!!!!
 
kama ana 34 asijisumbue maana hawatomchukuwa sio.....mie hii habari yote naiita ni usanii huyu muandishi anaandika nizar ana miaka 21 wakati kwente ile web ya caf inasema ana miaka 34 tumuamini yupi?au muandishi naye fisadi?binafsi yangu kama ana miaka 34 sidhanii kama spurs watamchukuwa sio kwa majaribio hata kuja kumuangalia hapa bongo pia hawatokuja.atakuwa yupo too old kuchezea premier.wkati mchezi kama adel taraabt ambaye ana miaka 20 basi wamempeleka loan qpr seuze huyu kijeba cha 34.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom